Search results

  1. B

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa uwanja wa Diesel, Newala-Septemba 21, 2015

    Uchache wao unatokana na uwingi wao katika eneo hilo. Kwa enep hilo watu hao ni nyomi tosha
  2. B

    UKAWA wanahitajika kuwa makini zaidi hasa katika eneo hili

    Shukrani kamanda kwa kutufungua macho. Nimekopi taarifa hii nampelekea Kubenea aiangalie na kuifanyia kazi. Nadhani Bwana Makene ni memba JF, hivyo atauona uzi wako
  3. B

    CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Udini wa Lowassa na CHADEMA

    Mimi ni mkatoliki. Hata Lowasa angekua mmbudha bado kura yangu ningempa tu. Mwaka huu CCM imeshikwa pabaya. Nape ameulizwa aonyeshe kwao ni wapi katika jamhuri hii ya TZ. Mara Ubungo mara Mtama. Kwenu wapi Nape?
  4. B

    Mkutano wa CCM pembezoni mwa barabara ya Mbezi Kimara

    CCM inaweka nguvu kubwa eneo hilo kwa sababu haikubaliki. Eneo hilo ni lawasi wegi wa Chadema.
  5. B

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Mzee Lowasa makini sana. Amebadili kabisa episode ya Janwani jana. Hiyo ndio kampeni ya mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba. Tunaanza na Mungu tutamaliza na Mungu. Freedom is coming on 25/10/2015.
  6. B

    Episode I: Agano-Lowassa Lazima awe Rais, Ndio mkakati tangu 95

    Mara nyingi wengine kama mimi ni mvivu sana wa kutoa uzi ndani ya Jf. Lakini kwa uzi huu wa Shost naupa big up sana. Thanx mkuu kwa taarifa nzito na yenye kutufungua akili.
  7. B

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Achana na intelijensia ya CDM. Ni hivi huyo aliyeshinda kura za maoni amekuja kujulikana kwamba ni kibaraka wa Wasira. Mchezo ulichezwa vizuri ili ashinde na baadae afanye kituko kwa faida ya Wasira. Mabere Marando hoyeeeee
  8. B

    Kingunge Ngombale Mwiru avuliwa ukamanda UV-CCM Taifa

    Utawala umefitinishwa. Goodbye CCM.Kapumzike salama tutaonana ahera ya tarehe 25.10.2020 kama utakua bado una pumzi.
  9. B

    Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    Ukatibu uenezi katika kipindi hiki CCM wamkodi aliye kuwa waziri wa habari wa Iraq ndugu AL Sahaf. Atawafaa sana katika kipindi kigumu. Anajua sana kuutumia muda na mazingira kama ilivyokua katika vita vya Iraq na Marekani.Askari wa marekani walipouteka uwanja wa ndege akawaamisha wairaq kua ile...
  10. B

    Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Mimi nampongeza ujasiri aliounyesha tangu sakata la Richmond mwaka 2008, CCM walipo kata jina la mumewe Dodoma, wakati wa maamuzi magumu hadi anahamia CDM a,k Ukawa. Huu ni ujasiri wa hali ya juu kwa mwanamke hasa wa kitanzania. Hongera mama nchi ya maziwa na asali ipo karibu sana na utapumua...
  11. B

    Nimeamua kumpigia kura Lowassa kuwa Rais wangu

    Tayari wamekua wapinzani. Bunge liitishwe fasta kwani October 25,2015 tayari matokeo tunayo. Pipoooooz
  12. B

    Kibwana Dachi tuombe radhi Wakatoliki

    Hua siyo msemaji sana humu jamvini japo ni mwanajamvi hili. Kiukweli sijapata nafasi ya kusikiliza hii radio kwa leo. Ila kama ni kweli kayasema haya basi atuombe radhi mara moja wakotoliki si tu kwa Tanzania bali kwa ulimwengu wa kikatoliki. Catholic church means 'universal Church'.
  13. B

    Membe uliaga, iweje unarudi tena jimboni?

    Kuna tetesi ya kupewa U/MKUU wanajanvi. Hivyo lazima agombee kiti cha ubunge. Nape atapewa jimbo linguine hasa yale yawaliozomea mkutanoni wakimataka Lowasa. AMINI HIVYO
  14. B

    Hivi ziara hizi za Kinana zina tija?

    Ziara kwa wa CCM ni za kawaid sana kwao . Ona mukulu alivyo zivumbua nchi zilizovumbuliwa Enzi za akina Columbus na Vasco da Gama.
  15. B

    Mwakyembe umetusaliti

    Mimi nadhani ni mkakati wa Mwakyembe na Kaka yake Mwandosya kwa maana kwamba mwisho wa siku kundi lote la Mwakyembe litaenda kumuunga mkono Mwandosya.Tubamogele bosa bo babili. Wamethubutu na wanasonga mbele. Kyela na tukuyu oyeeeeeeee
  16. B

    Kwanini Wachungaji hawapendi kwenda kuwaona au kuwaombea wagonjwa Mahospitalini?

    Kwa mapadre wa kikatpliki baadhi yao hupangiwa kufanya huduma za kiroho mahospitalini.
  17. B

    Mwaka 1906 Wangoni walipigwa picha na Mjerumani

    Machifu na maaskari wa kingoni walinyongwa na wakoloni wa kijerumani katika vita ya majimaji na hawakunyongwa na wamissianri wa kikatoliki ( wabenetiktini) wa ndanda na peramiho. Baadhi yao waliungama na kubatizwa saa chache kabla ya kunyongwa.
  18. B

    Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

    mimi nipo ligera naelekea lusewa kwa mzee wangu wa siku nyingi Ali Chitenje. nikirudi nafikia mgombasi na mtimbati maji kula mandondo
  19. B

    Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

    mimi nipo ligera naelekea lusewa kwa mzee Ali Chitenje
  20. B

    CHADEMA watoa msaada Bukoba

    Hongera wana chadema kwa ukarimu na moyo wa kujitolea kwa wazalend wenzenu.
Back
Top Bottom