Search results

  1. A

    2020 Mwenyekiti wa CHADEMA atapokea wageni?

    Rekebisha kauli atapokewa kama mgeni!
  2. A

    HAI, KILIMANJARO: DC aamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Tuledey

    Inaonekana anayapuuzia semina elekezi ya mheshimiwa jafo!kwanini watu hawawezi kufanya kazi bila kiki?
  3. A

    TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    TRA dar wanasumbua sana watu wanao invest kwenye commercial buildings kwa kuwadai hundreds of millions kwa kisingizio ya source of income.ukitaka kujua hili sio jambo jema kwa growth ya nchi.watu wanaoomba vibali vya commercial buildings imepungua kwa 80 percent pls fanyeni uchunguzi wenu kidogo...
  4. A

    Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Karibu chadema na wewe ukaribiwe!
  5. A

    Kwanini mkutano wa CHADEMA umekosa mvuto?

    Mvuto???kwani anatafutwa miss chadema?sometime ujinga wako reflects on your writing.
  6. A

    Bashe hataki tujenge reli kwa fedha zetu!!

    Hapo ni kama kununua suti wakati huna chakula!
  7. A

    Watanzania tuwe makini na uhamiaji hovyo wa WASOMALI

    Hata wachaga wanaanza kubaguliwa kwenye nchi yao.nyerere alisema ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu so pls chonde chonde!!
  8. A

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Mbona marekani wana cold cases kibao! Especially kwenye neighbourhood za weusi .weusi wakiuana hawaipi hiyo case uzito kama ingekua kauliwa mzungu !
  9. A

    Watanzania tuwe makini na uhamiaji hovyo wa WASOMALI

    Kenya wasomali ni nchi yao kama ulivyo wewe hapa tanzania .miji kama isiolo .mandera .garisa.wajir.yaani the whole of North Eastern ya kenya wanaishi wasomali so pls do your homework kabla ya kuandika .sometimes ujinga wako reflects on what you write!
  10. A

    Watanzania tuwe makini na uhamiaji hovyo wa WASOMALI

    TAFADHALI SOMA KUHUSU WASOMALI WA KENYA. The average Kenyan woman is having 4.6 babies, pushing up the country’s population by a million people every year. As a result, the population now stands at 38.6 million nationally, up from 28 million in 1999. But it is the growth in population of the...
  11. A

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Duh!Hata report hajaiwasilisha kwa wahusika so sad!!
  12. A

    Madalali wa nyumba za Jiji wamhonga mamilion RC wa Arusha

    Sheria mpya ya mtandao inakuhusu!
  13. A

    CCM yaibwaga vibaya CHADEMA kwenye ngome yake ARUMERU

    Chadema hii ni wake up call! 2020 chadema wanaweza kurudi bungeni na wabunge 10 !
  14. A

    Kalimba, Kada wa CCM afunguka. Aeleza wazi kutoridhishwa na mwenendo wa mwenyekiti wake!

    Mmh hapo ulipo ulipowaombea uhuru zaidi vyama siasa !napata mashaka na u ccm wako!o_Oo_O
  15. A

    Rais Magufuli awatumia Clouds Media salamu za Krismas

    Hivi lema anaruhusiwa kutumiwa kadi ya xmas?just curious ;)
  16. A

    Enough is enough, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Mashinji anapwaya

    Katibu mkuu gani hata akipita kariakoo watu hawamtambui hivi mi mwenyewe naweza kupishana nae nisimtabue!he should adress his supporters more often!
  17. A

    Jana nilimtembelea mbunge Lema kwenye gereza la kisongo Arusha nimemkuta kamanda akiwa tabasamu

    Siasa za kufanya fujo na kutukana ili ufungwe zimepitwa na wakati.its time lema abadilike ajenge hoja bungeni kama akina zitto na Bashe. Na kama Huna uwezo huo sio lazima utafute popularity so hard some time inaweza kukufanya watu wakakudharau na kukuona muhuni tu!
  18. A

    Hawamwongelei Tena Lema, Wakati Anateseka Selo

    Lema kufanya timing mbaya sana!huku trump .mara rip mzee sitta hajakaa vizuri rip mungai duh media hazimuoni kabisa!
Back
Top Bottom