Mheshimiwa wa habari hawezi kumsaliti kijana wa call me j kwa sababu yeye ndo alimfanya kijana akafahamika kwa marehemu six na ndo kama nyota yake ilianzia hapo. hivyo haitatokea mh akawa kinyume na kijana wake tegemeeni mchezo wa kuigiza
kijana wa call me j alishasema safari yake yote ya kufahamika ilisababishwa na mheshimiwa mpya wa habari pale walipokutana akampeleka kwa marahemu six .hivyo vyombe vya habari vitalazimishwa tu kuandika habari zake subiri muda utasema, maana yeye ni mtu wake pengine yeye ndo kapendekeza kwa...
uongo rafiki wakaati wanatoka hewani zilikuwa milion kumi na saba kwenye mtandao achilia mbali zilizokuwa zimeshawasilishwa cash ukumbini millioni thelasini . Pole kwa uongo na leo wametangaza zimefika millioni 80
ndg punguza mhemuko mbona na mimi nilikuwepo hao watu wamejiunga saa ngapi wakati hata mgombea urais amesahau kuwatambulisha madiwani na kuwaombea kura jitathmini mambo yenu mwaka huu si mazuri
kuigiza kuwa wewe ni kawa haisaidii kubadili walichokwisha amua watu maana kinachotakiwa ni mabadiliko waliohudhuria jana ni sehemu ndogo sana ya wapiga kura wote
ulichosema ni kweli hata wakati anapigwa na makonda rais alitamka kule mwanza akiwa gold crest kwamba wazee wengine wanajitakia kupigwa. na kule bungeni hata wale wa darasa la saba B walimtukana
wanajamvi jana mzee warioba alionekana pale jangwani akitetea CCM MASWALI YA KUJIULIZA JE?
1.ccm hao ndo waliomtuma makonda akampiga warioba pale ubungo
2.mh rais alishabikia kitendo hicho alipokuwa mwanza anaongea na awatu wa anti corruption eti wazee wengine wanajitakia kupigwa wenyewe
3.mzee...
ndg kama kauli ya Rais ndo ikisema inakuwa ni mara ngapi amesema na haikuwa alisema tutapata katiba kabla hajaondoka madarakani , hatujaiona alisema tutapiga kura za maoni mwezi april leo ni mwezi wa nane mbona haijawa. nadhani unatawaliwa na mapenzi badala ya uhalisia
nakuunga mkono mtatiro hawa wazee walifikiri lowasa hawezi kuhama hivyo wanahofia akipata urais nje ya ccm atawaumbua na madudu yao . najua watanzania sasa wanelewa hivyo najua watafanya kweli kwenye saduku la kura .CCM waache mbinu zao za kulazimisha ushindi
kila kitu na wakati wake ccm inabidi wajue kwamba muda wao wa kutawala umefikia mwisho ni sawa na mwanamke ajaribu kumrudisha tumboni mtoto aliye tayari kutoka haiwezekani
ccm watu wamewachoka hata mkiwalazimisha hawawezi kutii bora kuwaacha kuliko kuwazuia maana unapofanya hivyo unakuwa kama unawanyang'anya uhuru wao wa kuamua wampende nani
kupenda kwingine ni kubaya unatoa habari pasipo takwimu za kuthibitisha nafikiri ungetupa angalau takwimu kidogo japo hatujui kiwango cha shule yako hivyo ni vizuri ukatafakari hilo.
ndugu habari za uchaguzi siyo sawa na habari za vita unafikiri kura ya mwanchi zinazuiliwa na mabomu? vinginevyo unambie jeshi linataka kuchukua nchi. kauli zote hizo anatoa ni kwa ajili ya kujikakamua tu mambo si mazuri kwa ccm na wewe tazama vizuri tu utajua.
Nawapa ushauri ccm kwamba huwezi kuushinda ubaya kwa kurudisha ubaya bali shinda ubaya kwa kutenda mema tabia waliofanya halmashauli ya ccm inazidi kukimega chama na kupunguza kura maana wanawafanya waliowapa kura hao jamaa wasipigie ccm tena hivyo wanapoteza kura
hiyo picha ni current maana t shirt aliyovaa huyo mama ni zile za jana lakini ukweli alishausema mbowe kwamba mzee waliongea naye wakakubaliana apumzike baadae atajoin chamani na kuendelea na shughuli zake.lakini pengine ni mbinu za ukawa kujifanya wanatofautiana ili adui ashindwe kujua mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.