Search results

  1. M

    Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia luku ya jirani

    Wakikujibu unitag. Ninatatizo kama lako mkuu.
  2. M

    Pigo kwa USA : F 35B ya Marekani yaanguka huko Carolina

    Haina T-CAS au kuna mechanical failure. Itakuwa ni ajabu kweli kweli. Kwa mwendokasi wa F-35 series kama huo mfumo sio perfect basi kuna haja ya Lockheed kurejea kwenye ubao wa michoro.
  3. M

    Nassari sawa, Lema hapana!!

    Tafakari usemi wako na uchukue hatua! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee's Power! Utashangaa kwenye majumuisho baada ya masanduku yote kukusanywa, Anyway. Nimawazo yako ninayaheshimu.
  4. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Hata CCM wamsimamishe nani, hakuna mtu wakusimama na Lema kwa Arusha Mjini! CDM wasikate rufaa wala nini. Kaka Lusinde, Kuna usemi usemao "The parking spaces infront of bars are for the designated drivers, not the drinkers!" Kama kawa na Arusha mjini kakamue mulemule kama Arumelu tuone. CCM...
  5. M

    Nape Nnauye: Tumehujumiwa..

    Mboma mtalaumu sana tu. Kuna mwandishi mmoja wa ki-America aliwahi kusema "The very important thing in life is not to capitalize on your gains, any fool can do that. The most important thing in life is to capitalize on your losses, that requires intergense. And it makes big difference between...
  6. M

    Ccm hapa ndipo mlipokosea arumeru

    Ahsante sana wakazi wa Arumeru Mashariki kwa kusema HAPANA! Kumbe inawezekana. 2012 kazi ipo, wenzio wakinyolewa zako tia maji. Jiangalieni, namtafakari kisha mchukue hatua! Kama hamuamini ndohivyo sasa, kila zama na kitabu chake!
Back
Top Bottom