Search results

  1. M

    hotuba ya mwanasheria mkuu wa serikari kuhitimisha hoja ya marekebisho ya serikari.

    Hakika wanaJF; sijawahi kuona mtu mpu.........vu kama Werema. Kwanza, hafahamu kuwa pale alikuwa anaongea kama mwanasheria mkuu wa serikali na kuwa Hoja alizotoa Mh. Lissu alitoa kwa niaba ya Kambi Rasmi ya Upinzani; hata kama yeye anamchango mkubwa katika kuuandaa hoja hizo. Sasa, Werema...
  2. M

    Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    By the way, wanaJF wenzangu: Hivi inawezekanaje Rais ambaye ni M/Kiti wa CCM taifa anavumilia haya?? Tutaendesha nchi kwa matusi kweli?? Mwigulu huyu huyu alitukana katika kampeni za Igunga; Kule Arumeru nako matusi yaliporomoshwa na "Profesa" wa Matusi (Lusinde) ??!!?? n.k. na uongozi wa juu...
  3. M

    Mh. Lissu, jaji haondolewi kwa malalamiko bungeni au katika majukwaa ya kisiasa

    Kwanzakabisa, nahisi mtoa Mada ni mmoja wa waathirika wa moja kwa moja wa hoja zaTUNDU LISSU (TL). Kama yeye si Jaji, basi ni mwanasheria mchovu; INGAWA KWAKWELI AMENISIKITISHA SANA kwa kuleta Uzi huu. Uzi umejaa madhaifu mengi. Sasanielewe kwa ufasaha wewe "ZUZU" TEROBURU. Ndg.TEROBURU:-...
  4. M

    CHADEMA yalitikisa Bunge Hotuba ya Lissu yawa ‘mwiba’

    Cheze Lissu weeeeeeeeye?????!! Hivi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wenyeviti, Spika na Naibu Spika hawazijui kanuni za Bunge wanaloliongoza?? Viva Lissu, "Baeleze" "Baelezeeee" hawa wavivu wa kuperuuuzi kanuni. FREDOM IS COMING SOON. Keep the Star Shining brother!! We are behind you!!:flypig:
  5. M

    Tukio la kuteswa kwa ulimboka: Maswali mepesi kwa kamanda kova na serikali

    Kwa kweli nimesikitishwa na taarifa ya polisi juu ya aliyetuhumiwa kumtesa Dr. Ulimboka. Tafakuri yangu iko namna hii kimaswali:- 1. Hivi mtu ukikodiwa kujeruhi au kuua mtu, una haja gani ya kumuuliza juu ya nani aliyenyuma ya mgomo wenu (i.e. wa Madaktari? - Do you have that time sincerely?)...
  6. M

    Thinking out of the "box"

    Bandungu zangu wanaJF. Nimekuwa nikiwaza kila siku na kwa kweli kwa miaka nenda miaka rudi; maana naona tutakako kwenda hakuendeki. Na kimsingi, nashawishika kuwa tutabaki kupiga "Marktime" tu kimaendeleo. Achana na uwezo wetu na raslimali tulizo nazo ambazo kimsingi "Viongozi" wetu (Wanasiasa)...
  7. M

    Maskini JK namuonea huruma!

    Ameyataka mwenyewe wakuu wa JF. Aliingia kwa mkwara na akatujaza matumaini makubwa bali yasitekelezeka. Akawapeleka "vijipapa" mahakamani ili kutuzuga tu (Imagine Farijala et al.). Baada ya muda mfupi wakatuambia Mafisadi hawakamatiki na endapo utawagusa, basi nchi haitatawalika. Huyo ndiye Rais...
  8. M

    Magufuli na wimbo wa "kada wa chama... Mpeni kura za ndiyoooo" - jumamosi jangwani

    Habari zenu Wadau - JF. Hebu naomba kwa aliyeelewa au kutafakari na kutafakuri juu ya wimbo uliopigwa wakati Dr. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Magamba alipokuwa akihutubia wenzake waliojumuika katika viwanja vya CHADEMA Square (Zamani Jangwani) siku ya Jumamosi. Baadhi ya maneno yalikuwa...
  9. M

    Tundu Lissu aanza mashambulizi upya!!

    Nimekusoma Mkuu. Ubarikiwe kwa udadavuzi wako. Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz ...... Po...Po....Power!!!!!!!!!
  10. M

    Baraza la Mawaziri Kutangazwa Leo...Tetesi za Wanaotajwa Sura Mpya...

    Nadhani hawawezi kutangaza baraza hilo leo maana kesho ni Mei Mosi; hivyo nafikiri watafanya hivyo baada ya sherehe hiyo au siku ya J'5. Ila tu chakusikitisha na chakujiuliza wadau wangu ndani ya CCM, wapo wabunge wangapi wanaofaa kuziongoza wizara na serikali yetu kwa ujumla?? Sura zilezile...
  11. M

    Tundu Lissu aanza mashambulizi upya!!

    Ni kweli kwamba hata mimi nilishangazwa sana na Hapo kwenye rangi nyekundu. Kwangu mie niliipa tafsiri tatu; Moja ni kuwa hakuamini kuwa Jaji angelitolea kesi yake maamuzi hayo, Pili, Ni kuwa Machozi ilikuwa ni ishara ya furaha ya ushujaa na uadilifu wake lakini tafsiri ya tatu; ni kuwa...
  12. M

    Ndesamburo na Lyatonga Mrema hawatakiwi

    Threads zingine zinaboa. Acheni "Ushostitooooooooooo wa Siasa za kwenye taarabu" Think critically for the wellbeing of the nation and its revolutionary people wewe *************:-*
  13. M

    Pongezi kwako Vincent Nyerere!

    Ametishaaaaaaaaa. Bravo Vincent. Keep the star shining Mheshimiwa!!!
  14. M

    Sitta autamani Urais 2015

    Hollaaaaaaaaaaaaaaaaa, "Wazee hawatakiwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Tangu 70's mtu yuko kwenye uongozi wa serikali!!??????? Aibuuuuuuuuuuu.
  15. M

    Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

    Kama kweli wasichezee watu akili. Demokrasia lazima iheshimiwe daima. Tutamwaga damu sana tu.
  16. M

    DR Ulimboka Jiandae kuchukua jimbo

    "Sio kila asemae bwana bwana, atauona ufalme wa mbingu........" Tafakari!!
  17. M

    Mbowe atoboa siri

    Hadi kielewekeeeeeeeeeeeee!! Operation "Sangara" itaanza lini Kamandaaaa??? Singida, Manyara, Kigoma, Mara na Moshi kwenye element zozote za uongozi wa CCM ziondolewe by 2015. Peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeople's .................... Inawezekana bila shaka makamandaaaaaaaaaaaaaaa. In God we trust!!!
  18. M

    Lissu alivyomhoji shahidi leo- kesi Singida

    Lissu ni kiboko yaoooooooooo. Wamuulize Jaji Werema watajua kali yake. Matusi na dharau za Werema, Sitta, Capt. Komba na Ole Sendeka yaliishia kuzimu. Mungu amlinde Lissu na watanzania kwa ujumla. Kikwete alikiri, "Ni aheri Slaa ashinde Urais kuliko Lissu kushinda Ubunge"..... Ikungi 2010. Je...
  19. M

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Kwa kweli ukiyasikiliza matusi hayo kupitia "youtube" iliyopostiwa wiki iliyopita (kwa dk. 16), utasikitika mno. Laiti Uongozi mzima wa CCM ungelikuwa unajali maslahi na maadili ya watanzania, ungemwajibisha Lusinde. Nilisikitika sana niliposikiliza matusi yakimtoka kama MC wa sherehe ya kitchen...
Back
Top Bottom