Search results

  1. T

    Kamwe! Usikate tamaa!

    Well said. I agree mkuu..
  2. T

    Alibaba Refund

    Natumia Airtel
  3. T

    Alibaba Refund

    Nadhani bado process ya ku refund haijakamilika.. normally wanasema ndani ya siku 3 hadi 20 Zikipita siku 20 kabla pesa haija rudi ndio unaweza kulalamika
  4. T

    Alibaba Refund

    Mimi ilinitokea like 3 weeks ago. China wana lock down. Kwa hiyo viwanda vyingi vilikuwa vimefungwa. Baada ya siku 7. Ile kampuni ilishindwa kutuma mzigo.. kwa hiyo wakasema pesa itarudishwa ndani ya siku 3 hadi 20 Uzuri wangu nilikuwa nimetumia hizi master card za Mobile Money.. Kweli siku...
  5. T

    Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    thank you Kaka, ulizikuta sehemu gani
  6. T

    Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani? Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine baada ya kutafuta sana.. nilikuja kuukuta kwenye hivi vidroo vidogo dogo ambavyo vipi kwenye dashboard...
  7. T

    Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

    Kinachofanya joto la Dar liwe la kukera ni Humidity ni kubwa sana. (unyevu nyevu kwenye hewa). Hii inafanya watu watoe jasho sana. Kuna wakati bongo Humidity inafika mpaka 80.. hapo ni mwendo wa jasho tupu. Hapa mwili ukipumua unakutana na maji maji yamejaa tayari kwenye hewa (air), yanashindwa...
  8. T

    Je, asali haipandishi kiwango cha sukari mwilini?

    Watu wenye Sukari wana sukari yao maalumu ya kutumia. Inapatikanika sehemu nyingi. Inakuwa ya kidonge au drops. Kidonge kimoja ni sawa na kijiko kimoja cha sukari. Nimeattach picha hapa
  9. T

    Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Hapana, anakupigia kawaida tuu. sema lazima uwe na pesa kwenye salio. Sababu ukipokea unakatwa pesa pia, Tena wewe unaepokea unakatwa pesa nyingi (according to roaming agreements) Ila yeye anaekupigia anakatwa tuu kawaida, kama anavyompigia mtu wa local hapa
  10. T

    Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Siku hizi kuna pre paid roaming. Sio kama zamani . Mimi mfano naweka buku kwenye line. Natuma sms..chache.. na bado huwa natumia mobile money. Napata msg za internet banking etc
  11. T

    Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Mkuu wapigie hiyo Kampuni. Waaambie nchi unayokwenda kama wanafanya roaming. Kama wanafanya roaming basi ni rahisi kwako. Line yako itakuwa hewani. Ingawa ni gharama sana kufanya roaming. Yaani mtu akikupigia simu na wewe unakatwa pesa Lkn huduma za Mobile money .. USSD(kuangalia salio etc)...
  12. T

    Msala ambao siwezi usahau kamwe

    Kweli huu ulikuwa msala.Lazima ulipungua kilo kadhaaa Mitihani vipi? Ulibutua?
  13. T

    Airtel Tanzania tatueni tatizo la Call Drops

    Mkuu upo eneo gani unapopata hii call drop? Je unaipata ukiwa kwenye 2G or 3G network? Jaribu ku lock simu yako kwa 2G only kisha utest. Then 3G only kisha u test. Hii itawafanya Airtel kuelewa eneo na tatizo. Na itakuwa rahisi kushghulika nalo pia. Mimi pia ni mdau wa mawasiliano ingawa sipo Airtel
  14. T

    Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

    Airtel wamechelewa sana mkuu.. Voda na Tigo walishauza siku nyingi sana. Waliwauzia kampuni inaitwa HTT Core Busness ya Makampuni ya simu (Operators) sio kumiliki Minara, kazi yao kubwa ni kuuza services za mobile Sasa anapokuwa anamiliki Minara, hapo anatakiwa kudeal na mwenye eneo, kudeal na...
  15. T

    Barabara Mbezi - Makabe: Waziri wa Ujenzi njoo uone TANROADS walichokifanya

    Mkuu nimeona andiko lako limefanya kazi.. Ukarabati umeeanza tena... nimepita leo hiyo barabara mkandarasi anapiga kazi
Back
Top Bottom