Search results

  1. C

    Msaada jamani!!!!!!

    ndo ivyo miezi 4 uambiwe ukweli ili umtose ,mpaka umegwe akuchoke ndo utajua ukweli
  2. C

    Call for interview for various Posts in TANAPA

    waarusha wenyewe wamekosa
  3. C

    Kazi ya sensa watu wa Arusha vipi?

    itakuwa bado mie mwenyewe nafuatilia tutapeana information
  4. C

    Mishahara ya tanapa ikoje wakuu

    unauliziaje mshahara au ndo umeitwa interview
  5. C

    CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    Tuache majungu ni ngumu kwa mtu wa chadema kuchaguliwa akiwa amezungukwa na magamba mengi,hongera komu kura 97 sio mbaya
  6. C

    Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

    Kaka umejitahidi sana speach yako ya ukweli,ndo siasa ukikosa unajipanga kwa uchaguzi mwingine,jiandae mapema 2015 karibu sana kwa mwenye nia ya kuingia mjengoni.
  7. C

    Barua kwa Lowassa

    Kweli kutangaza nia sio mbaya ila unaonekana mwanasiasa muoga ambaochadema hatuwataki,mpakaleohujafungua hata tawi moja la chadema monduli halafu unataka ubunge kupitia chadema siasa sio rahisi kama unavyofikiria ,jimbo la monduli linahitaji mtu kamanda wa ukweli aliyejitolea kupambana na aina...
  8. C

    Kweli nimsamehe huyu binti?

    fukuzia mbali usifuge jambazi utapata mwingine wa ukweli,hao wapo wengi na gharama ya kumrudia ni mara 2 ya sasa anavyokuibia
Back
Top Bottom