Search results

  1. mwakajila

    Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    Suzuki Swift 2008 model Automatic ipo Dar..KM 162,000 5.5m Wasiliana na 0789221944
  2. mwakajila

    Wastaafu wote ambao mnazungushwa kulipwa mafao yenu na PSPF tukutane hapa, ili kushinikiza malipo!

    Napata shaka na wewe,ofisi zinajulikana zilipo kwanini unaomba taarifa zao binafsi kwanini msikutane hapo? Bila shaka wewe ni kishoka unataka kunufaika na sintofahamu iliyopo. Wazee na vijana wenye nia ya kusaidiwa na huyu kuweni makini jamaa anaonekana ni tapeli-Ushauri wa bure
  3. mwakajila

    Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    Imetoka michuzi blog, ila haya mavazi ni kama answar-sunni?
  4. mwakajila

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Kufanya kazi LAPF ni one way ticket ya jehanamu kwa dhambi ya uongo...
  5. mwakajila

    Mfuko bora wa pesheni ni upi kwa walimu watarajiwa?

    Jiunge na PSPF usidanganyike...mifuko mingine no maneno matupu tu toka mwaka 1970 lakini wanachama hata laki hawafiki..
  6. mwakajila

    Tegeta Escrow Account Corruption Scandal: Confidential files you need to read

    Wanajamii hii ni link ya mawasiliano yahusuyo escrow kwa kujisomea zaidi. Index of /escrow
  7. mwakajila

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Unapokuwa na jukumu la kulipa je ni asset au liability?wahasibu tusaidieni
  8. mwakajila

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Hakuna shaka uyasemayo mkuu karibu sana
  9. mwakajila

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Kesho ni mei mosi mkuu nitumie cheque namba ya mzazi wako kwa pm usiwe kama Kassim awadh hajatuma mpaka sasa
  10. mwakajila

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Kwanini PSPF sababu ni moja tu kuna mifuko haina hoja katika ushindani hivyo wanatumia kila namna kuuchafua mfuko wa PSPFmojawapo ni habari za kizushi hi vyema tukashindana kwa hoja..aliyeanzisha thread hii hajatuma kile nilichoomba toka majuzi..na yeye no mzushi??sijajua bado namsubiria..
  11. mwakajila

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Naomba unitumie private message cheque namba ya unayemfuatilia tuanzie hapo..
  12. mwakajila

    Dr. Dau akielezea Westadi na mradi wa Majumba ya kisasa Kigamboni

    Le mutuz acha ushabiki do simple math angalia formula za pensheni kwenye hii mifuko then urudi hapa jukwaani..usitangulize ushabiki try to base on facts..
  13. mwakajila

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    PSPF ndio mfuko bora katika nyanja kuu tatu...mafao bora likiwamo la uzazi,fao la kustaafu ni bora zaidi kuliko mfuko mwingine wowote kutokana na formula yetu..tumesambaa nchi nzima..ni rahisi kufikika mikopo ya viwanja na fedha taslimu...uliza waliokutangulia watakupa majibu maZuri
  14. mwakajila

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Van Medy PSPF inaongoza kuwa na vitambulisho digitized kuliko mifuko yoyote IDs are of current state of art na quality yake ni bora na hali ya juu tuongee ukweli ningependa tuzungumzie ubora wa mifuko na mafao yanayotolewa na mifuko hii..ili tuwasaidie waajira wapya watambue mfuko gani ni bora...
  15. mwakajila

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Makiara mfuko wa pensheni PSPF umeanzishwa mwaka 1999 kwa sheria ya bunge no 2 kwa ajili ya watumishi wa umma..kutokana na mabadiliko ya sheria mwaka 2008 iliyounda SSRA kila mtumishi ana haki ya kuchagua mfuko anaoona unafaa..vitambulisho vya wanachama vipo tayari na vimetumwa kwa mwajiri...
  16. mwakajila

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Karibuni mjiunge na mfuko wa pensheni PSPF inayotoa mafao bora kuliko mifuko mingine yoyote nchini na asilimia zaidi ya 98 ya wanachama wake ni walimu. Kujiunga kwa simu ya mkononi nenda sehemu ya meseji andika neno PSPF kwenda namba 15357 halafu fuata maelekezo.Huduma hii ni kwa mitandao ya...
  17. mwakajila

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Mwenyezi Mungu atuepushie na mabalaa haya.
  18. mwakajila

    Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

    Je barabara isipotumika itaharibika kwa kiwango kile kile pale inapotumika kubeba mizigo iliyozidi uzito? Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  19. mwakajila

    PSPF vpiiiiii....

    Naona wamekua kimyaaaa Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom