Search results

  1. U

    Rose Kamili aizuia ndoa ya Dr. Slaa mahakamani

    ....mkuu! maadam ndugu jamaa na marafiki "hawakuwamwagiaga michele" kusheherekia tukio la heri...hakuna ndoa hapo..na kuhusu hiyo sheria..naitazama kama sheria "nyingine toka ugenini" sawia na ile ya "toni blea"-ya sefu kumuoa chale, na jenifa kumuoa saada...
  2. U

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Kamundu ...plain and clear...it's a case of either white or black...!!! for the sake of keeping patriotisim of the motherland, denounce, u r foreign citizenship, and remain tanzanian or go to where u think u belong...no room for "popo"...!
  3. U

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    .... mkuu.. kwanza nikiri kwa dhati ya nafsi yangu kuwa tanzania hatujawahi kuwa na raisi dhaifu kama kikwete...natafakari na kulifikiria tukio zima la kutekwa tabibu ulimboka..bila hiyana wala kupendelea, kushabikia au kuegemea upande wowote, nazidkuwa na shaka kuwa wengi wa wanaofuatilia tukio...
  4. U

    The greatest speech ever made, listen and say something!

    ni hotuba nzuri ila tu...kwa wenye kuukubali na kuyumba na ukweli..!
  5. U

    Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

    ....sidhani kama iran wamewahi kuwa kama sisi( kama ulivyosema) hata mara moja...tanganyika kama nchi ilianzishwa mwaka 1884, na tanzania mwaka 1964...iran ni moja kati ya mataifa yenye historia ya miaka mingi, ikitajika kwenye biblia na ktk mafundisho ya kiislam.wakati wa vita baridi iran...
  6. U

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    ...wengi wamehukumu tayari...lkn hili jambo uchunguzi wake utawashangaza wengi...ulimboka yasemekana tayari alikuwa ktk uhasama na baadhi ya madatabibu wenzie, hapana shaka kutokana na mgomo ulimboka kwa nafasi yake tayari alishapata maadau wengine ambao ni jamaa za wagonjwa wanaokosa matibabu...
  7. U

    JK kawasili hapa Rwanda, kwenye Sherehe za miaka 50 ya Rwanda

    ....with mr kikwete shortcomings, still, frm the article, i man smell what once,was described by mwl nyerere as "chuki dhidi ya uislamu (na uzanzibar)"....no avatar free youself frm hate...!
  8. U

    madaktari fikirieni tena kwa mara ya pili

    wapiganapo tembo nyasi ndizo zinazoumia na halikadhalika wanpofanya mapenzi.....mie na wenzangu wengi mitaani hatuna cha kushabikia, na tunawalaumu wote...! still, nawaombea wale ambao wapo jumla jumla upande wa matabibu, isije ikawatokea wakawa wanahitaji huduma ya matibabu ktk kipindi ambacho...
  9. U

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    ...hilo la kuuawa kwa wazanzibar kabla ya muafaka ulioleta serikali ya umoja wa kitaifa ....tuseme bila ya kutafuna maneno...ni matokeo ya "kujifanya wanajua kumbe wanaungua na jua"....mzee mwenye hekima na mwenye kuzijua siasa za zanzibar, nje ndani, aliwaambia mapema...mwaka 1995, mara tu...
  10. U

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    ....niko kwenye kifo cha horace kolimba....taarifa ya uchunguzi wa kitaalam iliyofanywa na wataalam, waliochaguliwa na familia ya marehemu haikusema lolote juu ya sumu...!
  11. U

    Hamad Rashid na Yusuph Manji siri kubwa

    ....tatizo ni hamadi rashid, mzanzibar, kuwa sehem ya uwekezeshaji huo wakati punde tu..! sisi watanganyika na wao wazanzibar, tunaingia kwenye transition period kwa lengo la "kugawana mbao"... hii itakuwa ni nyongeza ktk shida tutakazokabiliana nazo ktk kipindi hiko...
  12. U

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Tusikimbilie kutuhumu... kwenye mgomo wao wa mwisho, mi na wenzangu tulikuwa tukiwinda daktari yeyote, "tumnyonye macho" baada ya mshkaji(holder of top secret) wetu kukosa huduma muhimbili kwa siku nzima alikopelekwa kutokana na kuvunjika mguu kwenye ajali...sijui waliomfanyia hayo ulimboka...
  13. U

    CCM, CUF reps differ over Union

    ...wapo kweli kama wageni..wakiishi kwa vibali maalum, na kama wageni wakitakiwa kuwa na kiasi fulani cha mitaji ili wakubalike kuwa ni wawekezeshaji wa kigeni kwa mujibu wa sheria (kitu ambacho kitawarudisha huko wenzenu wengi ),....wapo kweli lkn sheria ya umiliki ardhi inawabana, kitu ambacho...
  14. U

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    ....hilo litamaliza matata na sie wote, "waislamu na wakiristu", tutapata usingizi wetu..lkn pia..takwimu zilizoko kwenye kalenda iliyotolewa na ofisi ya waziri mkuu, inayoonyesha pamoja na mengineyo, idadi ya wakiristu ati ni 52%, waislamu32% na wa dini zingine16%, zitolewe maelezo na...
  15. U

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    ...somalia, pakistan, afghanistan, chad,sudan, ni nchi zenye waislam wengi lkn pia ufisadi si haba! ufisani hauna dini mkuu...wapo ktk imani zote! hapa kwetu bado nakumbuka " skandali la bi saada kitine, akisaidiwa na kina ustaadhi walid kabouru & co.....!
  16. U

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    ....sheikh ponda, na wengine wote wa aina yake, wanaojiona ni wateule wa kuwaongoza "kondoo" wa kiislam, pamoja na bakwata na taasisi zingine zote za aina hiyo za kiislam hawajawahi na hawatawahi kuwaunganisha waislam wa nchi hii kuwa kitu kimoja kwa mtindo wa kuwatenganisha waislam haohao ktk...
  17. U

    Utawala wa Rais Alhaji Ali Hassani Mwinyi na maendeleo ya Tanzania

    ...comrade...salute! kwanza, anatufundisha "hayati" shaaban roberts..."mbwa wa msasi mkali ni wakali kama msasi mwenyewe"...huyu (mwinyi), alikuwa ni makamu wa mwalimu...na mara baada ya kuteuliwa na mkutano mkuu wa ccm kuwa mgombea pekee wa uraisi, mwinyi akionyesha busara na hekima ambayo kwa...
  18. U

    CV ya Waziri Kivuli Miundombinu Ujenzi na Uchukuzi Chadema

    .....nashukuru mzee hajarushiwa kombora la kumbe 'kilaza'..!
  19. U

    Mbowe kulifumua baraza la mawaziri kivuli; nani kuingia/kutoka?

    .....na kiwe kitu cha heri kitakachoendeleza ufanisi wa kiutendaji, bila kuathiri mshikamano ndani ya safu za uongozi wa juu wa mov't...bado nina kumbukumbu ya "kimzozo cha naibu kiongozi wa upinzani, siku zile "alipoondolewa" wadhifa wake huo...allah bless our mov't!
  20. U

    Mtei akoleza moto wa Mnyika

    jk ni raisi dhaifu kutokea ktk jamhuri ya muungano...lkn kutuletea taarifa ati kuna "mzungu" aliwahi kuandika kuwa raisi wetu ni loughing stock ya ulimwengu...that was too much frm mzungu...haijatokea na wala haitatokea tanzania yetu inayopata raisi wake kwa uchaguzi (mind u, chaguzi zetu zote...
Back
Top Bottom