Search results

  1. K

    Njia rahisi ya kufidia makinikia na rasilimali zetu hii hapa

    Tokea karne ya 15 rasilimali za kiafrika ikiwemo Tanganyika zimekuwa zikiporwa kibabe na Wazungu na Waarabu. Rasilimali hizi hususani watu, madini, mazao mpaka mabaki na historia zimeishia kuwanufaisha kwa kila namna. Mbinu zisizo na tija wala faida chanya kwa wazawa zimetumika na zinaendelea...
  2. K

    Mh Kassim Majaliwa, baada ya tar 1/3/2017 stock iliyobaki ya viroba ipelekwe wapi?

    hIZI TAFITI ZISIZO ZA KISAYANSI ZITATUPOTEZA MAZIMA... GONGO IMEPIGWA MARUFUKU WATU WANAKUNYWA TENA HAO WAKAMATAJI NDO KINYWAJI CHAO MAARUFU. Hoja ya msingi ni kuwa athari ya pombe haina uhusiano na kifungashio.... kama ni kiroba au ndoo. Kama ni suala la nguvukazi kupotea haijalishi ni kwa...
  3. K

    Watu wanamjaribu Rais Magufuli kupitia Makonda

    Kwenye utendaji tunaangaza kwanza ni kwa kiasi gani unaweza kuwa mkweli.. hata kama unahenya usiku kutwa ukitakasa nchi,, lazima kwanza uthibitishe pasi na shaka yeyote uhalali wako. UMUHIMU WA KUWA NI BASHET AU MAKON UPO kujenga Imani ya kiutendaji
  4. K

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    kama hamna CV si make tuu kimya. uzi wa toka 2015 kasoma mara UD mara Muccobs ,,, mtu kataka CV ya kiongozi wake kuna ubaya gani??? kama unayo tuma au mtumie kwa email yake
  5. K

    Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    Ngumuu, lugha ina sababu zake... unaenda kuomba demu wa kichaga kwa kinyakyusa!!!.. sababu kuu za kukua lugha, mila na wasifu wa nchi ni ubora wake... lugha ni kiunganishi cha hitaji,, siyo hitaji "by itself" ni vyema tukawa na vitu ambavyo mtu akihitaji atalazimika kutumia lugha yetu hadhimu...
  6. K

    Maoni ya Nassari kuhusu nchi kujitegemea

    Hii hoja si rafiki kwa sasa, kujitegemea kiuchumi hatuwezi hata kwa miaka 100, tunalijua na wanaotufanya tushindwe kujitegemea wanajua na pia linapendeza machoni petu na kwao. Mtu ambae unaweza kupriotize simu badala ya choo, au ngoma badala ya net unawezaje kuanza kutamka maneno ya kilofa...
  7. K

    CHINA: Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwa huru na wa haki, yaahidi kuendelea kutoa misaada

    kwani walishatoa tamko kuhusu changuzi nyingine??? kama ule wa oktoba??? naomba referensi pls
  8. K

    Rais Kikwete: Wageni wasiporuhusiwa kununua nyumba NHC zitadoda

    wawape tuu,, wanataka mpaka watu wakinukishe ndo watajua
  9. K

    Rais Kikwete kuzindua ujenzi wa reli mpya ya kisasa

    hayo mabasi tuu kero,, yamezinduliwa na waziri mwezi wa tatu sasa hayajaanza kazi...
  10. K

    Kwanini viongozi wote wanaotoka CCM hawajiungi na CHADEMA moja kwa moja?

    kwanza kuwa makini na swali... viongozi wote kwa maana ipi? kuanzia mwenyekiti hadi mjumbe wa shina? na pia moja kwa moja unamaanisha nini!? isitoshe kujiunga unmaanisha nini? kuwa mwanachama au kutangaza adharani au ?? aidha kwa nini umeegema upande mmoja kwani wapi wanotoka chadema...
  11. K

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    the issue hapa ni being a free masonry... kwenye maandiko kadhaa yanatanabaisha kuwa mfuasi wa free mason hakukutenganishi na imani yako ya kidini... suala la kuabudu shetani ni udhaifu tuu wa kibinadamu ambao hata wewe unao, hauhitaji uwe mfuasi wa freemason kuabudu shetani... U shetani...
  12. K

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    kiswahili chake hakuna uhusiano wa dini yeyote na hiyo imani ya kuweza kufanya makubwa "supreme being" labda chin atuambie kapata wapi uhusiano wa freemasonry na shetani
  13. K

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Na hiki pia What is the religion of the Freemasons? In addition, most Grand Lodges require the candidate to declare a belief in a Supreme Being. In a few cases, the candidate may be required to be of a specific religion. The form of Freemasonry most common in Scandinavia (known as the...
  14. K

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    labda kwa faida ya wengi... kabla hatujajua kama pete, kubusu au kuiabudu hata dhana tuu ya FM... naomba niwatupie kipande cha defn ya fm kwa mujibu wa wikipedia Is Masonry a religion? Masonry is not a religion, nor is it a substitute for religion. The fraternity requires its members to have...
  15. K

    Nimegundua sababu ya mbatia kukitelekeza chama cha nccr:

    asa sababu uliyogundua ni ipi?
  16. K

    Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

    wamekimbia...! kudadadek! hawarudii tena kuandika mambo wasiyoyajua,, mkamap aiai na wenzako!! ati malori yamekuwa chopa...sante sana uliowaonyesha,
  17. K

    Mfumo wa maji ya visima vya chini jijini Dar es Salaam ni maji taka

    Sijui madam shuli au Sir Shuli, ukweli ni kwamba tunakula mavi! hiyo experiment yako ni tuu kama sayansi kimu... tunapima ubora wa maji kwa kuangalia coliform (kiwango cha bakteria wanaokuwa kwenye mavi (escherchia colli kama sijakosea kuiandika))na hata maji ya dawasko yanapimwa hivyo, lakini...
  18. K

    Mfumo wa maji ya visima vya chini jijini Dar es Salaam ni maji taka

    Kitakwimu mtandao wa bomba la maji ya DAWASO unawafikia chini ya asilimia 20 ya wakazi wa jiji hili lenye wakazi zaidi ya milion 6. Waliobaki wanatumia maji ya visima aidha vifupi au virefu. Isitoshe, chini ya asilimia 5 ndo wameunganishwa katika mfumo wa maji taka, zaidi ya 95% wanatumia...
  19. K

    Kuinyima kura CCM wakati naipenda

    Katika kipindi cha hivi karibuni, tumeshuhudia mengi yanafanyika kujaribu kuwaaminisha watu kuwa fulami mbaya, mchafu, mwizi na hafai kusimamia utekelezwaji wa majukumu ya nchi. Katika vita hii, inaoneka chama tawala ambacho kimekaa madarakani kwa miaka takriban28 + 16 ndicho kinaonekana...
  20. K

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Kweli baadhi ya majina yanamaanisha tabia...MZEE MWANAKIJIJI .. na ukongwe wako wooote wa kutoa hoja, umekesha usiku kucha unaconstruct non sense ideas... kama vile umejiharishia!!! mada yako inaonyesha unataka kuwa jemedari na sio kushinda!! Yani akili zako ziko kwenye kuonekana unafanya kazi...
Back
Top Bottom