Search results

  1. K

    Taifa stars vs Misri: Kocha umetuangusha kwa kupanga wachezaji wengi wa Yanga

    Tutashindwa sana, tena ktk mambo mengi sana na michezo tu maana tuliisha kosea siku nyingi. Hata tunaodhani wangeligundua kosa hilo, na wao ukiwasikiliza wanatoa hotuba, unagundua kuwa hata wao hawajui kama hatuko sawasawa. Mungu tusaidie sana.
  2. K

    Maoni ya wanasheria kuhusu tukio la Makonda

    Hapa tatizo litakalosumbua mahakamani ni neno "kibaka" kama ni tusi au sio tusi. Kama kamusi ya kiswahili sanifu haina maana ya hilo neno kama tusi au matusi,hapo ndipo watetezi wa mkuu wa wilaya watajua kama mchicha ni mboga au chachandu.
  3. K

    CCM Dar es Salaam, mnataka kuivua nguo CCM? Muwe makini

    Kwa kifupi, tabia hizi za CCM ni za aibu kubwa kwao na hata zinafedhehesha vyeo na taaluma za wakurugenzi wa halmashauri, manispaa na hata majiji husika. Ni aibu aibu tena aibu kubwa sana. Ushahidi wa matendo haya wanayofanya mchana na mbele ya watu namna hii, unatosha kuthibitisha kwamba...
  4. K

    Rais Magufuli aweka rekodi, siku 25 bila Mawaziri

    Unashangaa hili la Magufuli; Buhari wa Nigeria amemaliza miezi sita bila balaza. Toka mwezi wa tano mpaka alipotangaza mwezi wa 11.
  5. K

    Maalim Seif bado anapokea mshahara wa Serikali ya Shein

    Hao wanaomlipa mshahara wa makamo wa kwanza wa rais ni wezi na wanamtapeli. Yeye anapaswa alipwe mshahara wa rais kamili. Waambie waache mara moja kumpunja.
  6. K

    Suala la Madawa ya kulevya na Ujangili, hapa Magufuli tuliza akili, bila hivyo...!

    Swara la madawa ya kulevya na ujangili ni la kimfumo zaidi na si la u-rais. Hili ni janga la kidunia na sio la Tanzania. Kikwete alikuwa na nia ya kulifanyia kazi,lakini alichokutana nacho humo ndani (mke wa mpakanjia),akaamua kuachana nalo mara moja.
  7. K

    Zomea zomea ya wabunge wa UKAWA yaweza kutungiwa kanuni kandamizi

    Ndugai huyu unayemuona leo na makeke mengi dhidi ya watanzania wenzie eti kwa vile tu wametofautiana ktk kuamini ki-itikadi,na kwa vile wanafanya kile ambacho yeye hataki na kwa sababu amejiaminisha kwamba yeye anawaza/anafikiria vizuri zaidi ya wote humo bungeni; ziko nyakati zitafika ambapo...
  8. K

    Somo rahisi kwa upinzani kuelekea 2020

    Nikuhakikishie bila shaka kabisa kwamba, upinzani utaendelea kustawi kwa kupanda wakati ccm inashuka ktk kila uchaguzi. Ipo sababu kubwa moja inayofanya upinzani uendelee kustawi,na ccm kushuka. Bahati nzuri ccm wenyewe hawajagundua na kwa mazingira yaliyopo,hawawezi kulijua hilo maama...
  9. K

    Zaidi ya 50% ya wabunge CHADEMA kushindwa 2020

    Nasema hivi,siku ukijua na mimi nakuombea ujue, ni sababu zipi zonazofanya ccm ishuke ktk kila uchaguzi,huku upinzani ukipanda ktk kila uchaguzi,hautawaza tena kama unavyowaza sasa.Mungu akusaidie.
  10. K

    Zaidi ya 50% ya wabunge CHADEMA kushindwa 2020

    Siku ukifahamu kwa nini upinzani unapanda wakati ccm inashuka utaachana na karagabaho.
  11. K

    Zaidi ya 50% ya wabunge CHADEMA kushindwa 2020

    Kama ingelikuwa wewe unaweza kufanya nini mahara pako pakazi, kama kiongozi wako anakwambia hadharani na mbele ya watu wote kwamba leo hakuna kazi,na nenda nyumbani. Mimi nadhani hujui na hutaki kujua, ni kwa nini wabunge wa upinzani wanaongezeka ktk kila uchaguzi unapofanyika badala ya...
  12. K

    Ukweli wa heri: Tundu A. M. Lissu hana mfano Bunge lile wala hili

    Wewe ni mwana kibamba na sisi tunajua hivyo.Lakini ukweli ni kwamba,kura yako hukumpigia mbunge aliyeshinda, bali ulimpigia aliyeshindwa na hakika ndicho ulichofanya. Ushauri wangu kwako; endelea kuamini ktk yule uliyemchagua maana ulimpenda lakini raia walimkataa. Pole sana.
  13. K

    Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    Hata 2010 mlisema 2015 wapinzani watapungua sana, tuambie nini kimetokea?
  14. K

    Wabunge wa upinzani hamjatumwa bungeni kuzomea

    Wewe ulichagua wakwako kwa kazi ya "NDIYOOOOOOO".Wapinzani nao walichagua wakwao kwa kazi hiyo wewe unayoiita ni kuzomea. Shughulika/Shauri wa kwako, na waupinzani watashauriwa na wakwao. Kama inakuuma kuzomewa,waambie wakwako ambao ni wengi bungeni wapeleke mswaada wa kufuta vyama vingi ili...
  15. K

    Uchaguzi wa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

    KUB ni kwa mujibu wa kanuni na sio kama unavyotaka/dhani wewe. Upinzani umewaona wanapendekeza jina la waziri mkuu kushindanishwa na Majaliwa?.Kama haukuona hilo linafanyika,basi ujue kwamba hata KUB hapatikani kienyeji,bali ni kwa kanuni. Kwa taarifa yako; chama chenye wabunge wengi au...
  16. K

    Mwandishi anapozawadiwa Ubunge kwa kupendelea

    Nawewe nenda ukapendelewe CHAUMMA kama unadhani ni lahisi hivyo.
  17. K

    UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Sema ulimchagua Lusinde, kwa akiri yako hii umchague Lissu wewe?.
  18. K

    Dodoma: Rais kuhutubia Bunge na Waziri Mkuu kujulikana kesho, UKAWA bado hawasomeki

    Hata wewe nadhani akili yako inamushikeli, Rais hajaitisha bunge kwa matakwa yake, bali sheria iliyopo ndio inamlazimisha kufanya hivyo. Hivyohivyo na wabunge hawapo Dodoma kwa lazima ya Rais, bali sheria iliyopo ndio inawataka wawepo. Kama sheria ingelikuwa inasema bunge litaitishwa na jaji...
  19. K

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Wale wanaopenda kuamini kuwa kila jambo zuri nchi hii ni mafanikio ya watu wa itikadi furani ya kisiasa. Sijui na hili la goli 7-0 ni mafanikio yao au ni yetu wote?.
  20. K

    Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Kwa Mwangosi motive ilikuws ni ipi? mwanasheria tusaidie tafadhari.
Back
Top Bottom