Search results

  1. M

    ushirikiano au umoja wa Chadema na NCCR unakuwaje tishio kwa Waislam?u

    Nfkr shule ina mchango wake kwenye maisha ya mtu. Inaonekana alipendelezea zaidi madrasa kuliko shule ndo maana bado hajui la kuongea. Aende CUF then!!
  2. M

    Wazanzibari wataka ajira kwa Watanganyika huko Visiwani ikomeshwe; wagonga mwamba!

    No offence to anyone lakini wazenji wengi hawapendi shule at all. Sasa wanategemea endesha nchi bila shule? Na pili wengi wao ni wavivu wa kazi. Hata ukauliza watanzania wanaoishi UK watakwambia kwanza wanajibagua na wabara, hawaendi kw misiba ya watu, kazi hawafanyi etc. Kuna aliyekuja omba kaz...
  3. M

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Huyo ma(neno baya) anatakiwa akarisie mtihani wa la saba halafu aende sekondari both o and a levels. Then afaulu aende chuo then ndo aanza simama mbele za watu. Hivi hao walomchagua hawakujua kuwa hajasoma? I wonder maendeleo ya huko jimboni kwake yakoje!!
  4. M

    Kwanini ili chadema ishinde lazima ushindi uambatane na vurugu

    Hii njemba kumbe haina shule kabisa ndo maana ana mdomo mchafu kama mwanamke wa uswazi. Subiri 2015 mhishimiwa Lusinde. Lazima tukuwekee video yako kwanza wakati wa kampeni. Utaipata mpaka BBC umetukana mbele ya watoto. Jifunze adabu!!
  5. M

    Kwanini ili chadema ishinde lazima ushindi uambatane na vurugu

    Hii njema kumbe haina shule kabisa ndo maana ana mdomo mchafu kama mwanamke wa uswazi. Subiri 2015 mhishimiwa Lusinde. Lazima tukuwekee video yako kwanza wakati wa kampeni. Utaipata mpaka BBC umetukana mbele ya watoto. Jifunze adabu!!
Back
Top Bottom