Search results

  1. sun wu

    Bill Gates criticizes Google's internet balloons set to be flown over Third World countries as he sa

    This Guy is loosing it and his statement has no merit..., sijui yeye baada tu ya kununua Operating System na kuwapa license IBM aliwasaidia vipi watu wenye Malaria.., au sijui kama kila mtu issue ingekuwa ni kusaidia Malaria basi wote wangeanzisha viwanda vya Dawa au research ya magonjwa...
  2. sun wu

    Sitta: Kuna Wabunge mizigo CCM

    Kwa Pesa na Posho wanazotia ndani, na upuuzi unaopita Bungeni; Wabunge wote ni Mzigo kwa Taifa...., Maybe Apart from Five or Four of them
  3. sun wu

    Aibu: Kamanda wa CHADEMA arekodiwa akijieleza jinsi alivyokubali kuchezewa nyeti zake na kusagwa

    Huyu ni yeye kama yeye na aibu yake kama yeye na tabia zake.... The only thing I can say huyu kama ni Viti Maalumu basi hii inaonyesha ni vipi we need kufuta viti maalumu
  4. sun wu

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Kujiuzulu is getting off lightly..., akithibitika abebeshwe madawa yake na kupakiwa kwenye Ndege ya kwenda China ili wakammalize vizuri huko kama walivyomalizwa wengine... Eti kujiuzulu...., yaani hio ndio imekuwa adhabu ?
  5. sun wu

    John Mnyika: waraka kwa Chenge kuhusu kodi ya kadi za simu

    Naipenda sana hii ya kutoa namba za hawa Overpaid; Under performing MPs.., yaani sasa angalau wafanye kazi kidogo kwa kujibu maswali ya wananchi na sio kulalamika namba zetu za simu zimetolewa.., as if kazi yao sio wawakilishi wa wananchi na wanavuta pesa kwa kazi hio.. Nadhani next tupatiwe...
  6. sun wu

    Makamba Jr, DSTV Wamewashinda Kuhusu Channel 5 Za Bure?

    Wakuu ili kuelewa hili somo labda nili-tackle kwa alternative method:- Hivi mtu anapojiunga na Cable au DSTV anajiunga ili aangalie local channels au premium channels ? Kumbuka kabla ya kuingia Digital (Cable na DSTV zilikuwepo) na mtu ili upate channels za ziada ndio ulikuwa unajiunga na hizi...
  7. sun wu

    Kodi ya Sim: Mhariri Mkuu wa Daily News (Gabriel Nderumaki) anaishi dunia gani?

    The same can be said to the people who brought and thought about this TAX; Especially the one person who is the minister of this sector as well as MP (who failed miserably to change anything) and yet when its too late he still has the audacity to say he did not want it in the first place (maybe...
  8. sun wu

    Ufafanuzi kuhusu bomu lililopigwa jana katika mkutano wa CHADEMA

    [/LEFT] Kwahio huwa wanapanga kulipua mabomu kabla ?, Sio kwamba ikitokea hatari ndio inapelekea wapige mabomu ? Duh hii nayo ni hatari.
  9. sun wu

    Elimu, Maarifa na Ujuzi vina Nafasi gani Katika Kuchangia Mafanikio ya Mjasiriamali?

    Ujuzi; Elimu; Maarifa... Vyote vinachangia positively ingawa haimaanishi kukosa vyote au kimojawapo inamaanisha hautafanikiwa.., ila kama hauna kimojawapo ukikipata ni faida zaidi sababu utakuwa umeongeza skills. Ujuzi : Nadhani hii ni no brainer..., bila kujua / ujuzi na unachofanya unless...
  10. sun wu

    Je, Kuna Umuhimu wa Kuandika Mchangamanuo/Mpango wa Biashara?

    Failing to Plan is to plan to Fail... Business Plan au plan yoyote ile sio lazima iwe imeandikwa sehemu (SWOT Analysis, Executive Summary n.k.) bali hata kichwani tu mtu akiwa na plan / vision ya kwamba tafanya A, B, C (tauza nyanya nikipata faida taongeza vitunguu nikipata faida taanzisha...
  11. sun wu

    Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    Huyu Makamba nadhani amesahau kwamba yeye ni mfanyakazi wa wananchi na hao ndio wanaomlipa mshahara kutoka kwenye kodi zao, pia yeye ni kati ya wahusika wakuu kwenye hii sekta.. Sasa kwakweli anakosea sana kuona kwamba moja ya kazi zake za kuwasiliana na wananchi ni kero basi bora aache hio...
  12. sun wu

    Majambazi yavamia kituo cha polisi

    Nadhani kama ni muhimu saana kufanya hizi shughuli zao ni bora wazifanye kwa polisi na sio kwingineko, so long as hizo silaha zao walizoiba wasijekuzitumia kwa sisi raia wa kawaida
  13. sun wu

    Taxation of mobile communications: The case of Turkey

    huenda ikawa ni hio lakini zile bundles lets say kifurushi cha tshs 500/= (14.5% ingebidi iwe tshs 72.5 na sio kupanda kwa tshs 100) na zile bundle za net zilizopanda buku tano sijui justification ipo wapi I mean je hio yote buku tano na tshs 100/= inakwenda kwenye elimu ? Mi naona hapa...
  14. sun wu

    Kodi mpya: Barua ya TRA kwenda kwa mabenki

    my point exactly si unaona hata sisi hapa tushaanza kuchanganya (confusion) kila mtu anatafsiri kivyake na shida ya hii watu watakatwa kodi hata pale pasipohusika ukizingatia serikali yenyewe ni kukusanya tu, sasa walishindwa nini kuweka kila kitu kinachohusika na kisichohusika stage by stage...
  15. sun wu

    MGIMWA: Kodi ya simu kutobadilika

    Bogus Kabisa..., huyu jamaa anataka kuleta siasa na ku-insult intelligence ya watu.. Of course wananchi tunataka maendeleo ila kwanini hizo kodi zisitoke kwenye madini yetu au categories ambazo hazimbani mlaji direct ?, hivi hajui kwamba watu kwa sasa simu ndio ofisi zao na zinawafanya wapate...
  16. sun wu

    Kodi mpya: Barua ya TRA kwenda kwa mabenki

    Hapana hii sio kwenye mishahara au kuhamisha pesa kutoka benki mpaka benki (i.e account mpaka account) lakini ni zile issue za TT; moneygram, western union, mmpesa na vitu kama hivyo, lakini ninavyofahamu hii nchi yetu popote kwenye confusion watakulima tu kodi ukizingatia hii nchi kila mtu huwa...
  17. sun wu

    Taxation of mobile communications: The case of Turkey

    kwahio it means hio ya vifurushi kupanda kwa kiasi cha tshs 100 na bundles kupanda kwenye net ni kodi walizopigwa wenye makampuni nao hawakufanya ajizi bali kumsukumia mtumiaji ?, Duh all in all mi naona ni vema tukapata clarification zaidi juu ya hizo kodi nyingine pia, kama ni kweli vifurushi...
  18. sun wu

    Kodi mpya: Barua ya TRA kwenda kwa mabenki

    So this is western union, moneygram TT and the likes I guess, (In regarding Banks) and Mmpesa et al regarding the telecommunications although the letter could have been more elaborative to avoid misconfusion.., These people are now squeezing us in each and every possible way
  19. sun wu

    Taxation of mobile communications: The case of Turkey

    Kwanza naomba nieleweshwe sababu huenda hapa kuna double taxatation... Mara baada ya kutangaza hizi kodi bundles zote zilipanda bei; Tshs 100/= kwa vifurushi vya simu na mpaka elfu 5,000/= kwa bundles za internet.., Sasa swali linakuja hio buku moja wanakata kwa mkupuo au ndio wanakata kila...
Back
Top Bottom