Search results

  1. S

    Mama Ananilea Nkya ni Mkakamavu!

    Ukweli ni ukweli siku zote na wala hauwezi kugeuka kuwa uongo. CCM ndo waliozoea uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo Hongera mama Nkya
  2. S

    Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

    Hongera sana dada keep up the good job hujatupa contact zako.
  3. S

    Ben Kinyaiya

    Wana Jamii Forum, mimi nakerwa sana na haka katabia ka kudiscuss personal issues au personality ya mtu. Let's be fair - mimi sidhani kama madhumuni ya kuanzisha hii forum yalikuwa ni hayo - Let's educate people and not to destroy - kila mtu ana mapungufu yake. Hakuna binadamu aliye kamili -...
  4. S

    Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    Ngeleja being Ngeleja is a human being despite his ministerial post. Huo uwaziri kaupata juzi basi nanga zinapaa lakini hatambui mpanda ngazi hushuka na kama hatashuka basi inabidi tupande juu tukamshushe. Pole sana Mnaku. Haya yote ni matanuzi ya duniani - but we are all equal in the eyes of...
  5. S

    MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

    Poleni familia ya MC. Kufa ni wajibu. Yote yaliyotokea yapo kwenye Biblia - Hatujui saa wala siku ...... nadhani MC au huyo mama angejua saa na siku si ajabu siku hiyo asingekwenda. rest in peace.
  6. S

    Swali kwa wanawake na wanaume wazoefu

    Hii kitu haina millage bwana .... huwezi kujua imetumika kiasi gani sometimes ni use or reconditioned. hata nyie ---- ni balaa tupu ingekuwa ni mfutio wengine ungekuta vimeisha ....
  7. S

    No comment - Kingunge

    Rwabugiri - kwa kweli umenigusa - 2010 moto utawaka naomba wanajamii tuendeleze moto huu - tuchochee mpaka basi. Hongera sana Cardinal Pengo - Endea kusimamia haki ya wanyonge. Tuko nyuma yako Baba, kwa kila hali - kwa maombi, mawazo nkm. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni !!!!!
  8. S

    Maharamia wa wake za watu tuwafanyaje???

    Pdidy, Thank you for the good message. There are a lot of success and failure stories to be shared in regards to marriage. lakini mimi mwenyewe naona kama sisi wanawake ndani ya ndoa - we are like slaves. Haki ya mungu hata hiyo busu unaweza kukaa hata mwaka hujaipata. Acha busu hata kukuita...
  9. S

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    NEXT LEVEL, nakubaliana na wewe asilimia 100. Pia napenda kuwaambia wananchi wa Busaga kwamba Wakati wa CCM umekwisha na kama tulikuwa watoto tunadanganywa kwa pipi sasa tumekua - tena tumekua sana KIAKILI, KIMWILI na KIROHO ? umeme siyo zawadi ni haki ya kila mtanzania pindi fungu la fedha...
  10. S

    Role of Indians in the Tanzanian Economy

    Wajameni - bado hatujalia kilio? ile document hii hapa. Please search the Anti-Corruption resource Centre - U4 Publications - halafu angali document titled 'DOES AID WORK? REFLECTIONS ON A NATURAL RESOURCES PROGRAMME IN TANZANIA - HALAFU WANAJAMII MTOE MAWAZO YENU - hapo hakuna kabila - ni...
  11. S

    Role of Indians in the Tanzanian Economy

    Ndugu zangu, tuache malumbano yasiyokuwa na maana. mafisadi ni wengi na sio wahindi tu. Kitu cha kuchangaza je serikali yetu iko wapi? iko likizo? hakuna wa kumkemea mwingine. Kila kitu kinakwenda mzobe mzobe. Je waliokula mabilioni ya wafadhili -Ministry of Natural Resources nao pia ni...
  12. S

    Alan Rodgers in no more

    Dear Friends, I kew Dr. Alan Rodgers since 1992. Ni mtu muhimu sana kwa watanzania. He fought for our development especially in the protection of our forests and natural biodiversity. He will be laid to rest tommorrow afternoon at the Langata Cemetery, close to the Kenya Wildlife Services...
  13. S

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Maane, i strongly support u - keep up the good work of anaysing things ...
  14. S

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Sijui umri wako lakini nadhani unazeeka vibaya ---- mwishowe utasema hata kwenye jamii forum kuna wachagga ....... Haha !!!!!!
  15. S

    Beware of Power Club Scam

    Watanzania tumekwisha - tutaliwa mpka tupate pancha - nadhani pancha tulishapata tayari mpaka tube ina viraka - kazi kwenu
  16. S

    Wababa wengine bwana

    Pole Sana, I know you gotta brain - be smart enough to smash him . Take care
Back
Top Bottom