Hii ifaleta huwajibikaji mzuri kwa Wabunge katika majimbo yao,na Mawaziri katika wizara zao,itasaidia sana kwa wasomi wetu kufanya walichokisomea,badala ya kukimbilia ubunge hili awe waziri.haya ni maoni yangu PC
waungwa,ni vyema kusoma na kuelewa hata kama kurudia mara 10 mpaka muelewa,na hapo juu maelezo yapo,lakini bado kuna baadhi wanaandika maneno yenye ufinyi kimawazo,tusaidiane hili tuweze kuleja hoja za maana,na ambazo zitasaidia kuleta maendeleo mazuri kwa Taifa letu.kama mijadala itakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.