Search results

  1. M

    Makongoro, Muhongo wageukia Ubunge

    Hapo hamna wa kumtoa halima,labda atoke cdm na kugombea kupitia chama kingine
  2. M

    Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

    Namkubali sana Filikunjombe,maana huwa hana mambo ya kusifia,ni kusema ukweli tu,kilichonishangaza wenzake hawampigii makofi,ila lusinde na wenzake wakitukana,wanashangaliwa
  3. M

    CCM wageukana!Mbunge CCM asema mawaziri 10 tuu kati ya 60 ndiyo wanafanya kazi!!

    Huwa namkubali sana huyu mshikaji,nafikiri 2015 ccm hawatampitisha,maana anawapa ukweli mtupu!
  4. M

    Polisi wapiga marufuku maandamano ya leo ya wapinzani

    Duh,yaani nchi hii,mbona tunatawala kwa hofu!waachane Chadema waandamane tu,na wapewe ulinzi wa kutosha tum
  5. M

    Paul Chizi wa ATCL asimamishwa kazi

    Haya watu wa Mbeya kaeni mkao wa kupewa vyeo,mambo ndio yameanza hivyo,sitoshangaa huko mbeleni hiyo wizara ikawa na Wanyakyusa tu,kama ilivyokuwa wizara ya fedha ya Mramba na Meghi.
  6. M

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Duh!!maneno mazito hayo kamanda Lema,songa mbelele kwa ukombozi wa Tz wote....
  7. M

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Hakika hao polisi wanajua hukumu tayari,ndio maana wako wengi,ila safari wakitengua tena....nina shaka kama wananchi wataendelea kuwa wavumilivu
  8. M

    Zitto alipuka tena bungeni

    Duh kwa style hii,yaani kila siku huyo bibi anaomba apelekewe kwa maaandishi tu,naomba unipe mfano mmoja wa alichowahi kujibu kuhusu hayo maandishi...wapi ushahidi wa Lema....!? na ule wa Wenje..???
  9. M

    Kamati ya ardhi, maliasili na mazingira ya Bunge yailipua serikali tena

    Ni kweli kabisaa,mwenyekiti wa kamati Lembeli ndio anaanza kumwaga madudu yao...
  10. M

    Zitto alipuka tena bungeni

    Mhe Zito anasema mawaziri wa Madini wanasema uongo,anamwambia apeleke kwa maandishi,wakati walishapeleka kupitia kamati yake,maana yake nini!?
  11. M

    Wabunge waomba Bunge la Dharura kama JK asipowawajibisha mawaziri

    Anaenda kuuza sura tu,huwa haoni matatizo kwenye nchi yake huyo,lakini akisikia Kenya kuna shida,atakuwa wa kwanza kufika
  12. M

    Hawa ndio wabunge waliopiga "Vote of no confidence" kwa Waziri Mkuu TZ

    safi sana hiyo,hao wnatosha kabisaa,mbona sioni jina la Zito,au mtoa hoja hasaini?
  13. M

    Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

    Sasa kwani wezi wote si wapo ccm,ndio maana wanazomea!wao watamzomea nani?
  14. M

    JK kukutana na Wazee wa Mkoa wa Dar J'nne kuwaeleza serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa

    Kama ni kweli,hakika damu ya waTz siku moja itakuwa mikononi mwake...
  15. M

    Wassira aendelea Kulala Bungeni-Aibu

    kwani huko jimboni anakwenda sasa!yaani huyo ndio alikuwa wa kwanza kujiuzulu,hakuna lolote aanalofanya!!
  16. M

    Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

    Wapi katibu mwenezi Nape na zile kejeli zake!!:blabla:
  17. M

    Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

    Yaani Zito kawapa bonge la mtego,na hapo ndio tutajua nani ni mnafiki hapo mjengoni,lakini wasipopiga hiyo kura,Zito arudi atangazie uma,na wananchi wawajue wabunge wao wengi ni bogus tu,wapo kwa ajili ya ushabiki wa chama..mm huku jembe langu Halima Mdee ataniwakilisha vyema kabisaa...
  18. M

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    mbona mnatuchanganya jamani!!
  19. M

    Wekeni hapa matokeo ushindi wa CCM

    sasa nani akuwekee!?
  20. M

    Inasemekana ccm wamerusha ndege mbili kwenda Arumeru saa tano usiku

    duh,wasitake kuleta mambo kama ya arusha mjini kwa lema,maana nasikia mafisadi wote walitoka dar wakaenda kushinikiza yule mama atangazwe mshindi,hata hivyo walichemsha,maana nguvu ya uma huwezi kuishinda,wana arumeru kumaeni mpaka kieleweke hapo
Back
Top Bottom