Search results

  1. O

    Mukama ahudhuria mkutano wa kijamaa

    ujamaa kwetu nadhani, uliishia enzi za Mwalimu Nyerere.
  2. O

    Census in good progress Ms Amina Mrisho, has expressed optimism on positive outcome

    Ni kweli zoezi hili limeferi, leo ni siku ya tano/sita, hawajafika kwangu kunihesabu mimi na familia yangu, huko Dodoma, sasa makarani watafika lini kutuhesabu kama hadi sasa hawajafika?
  3. O

    CCM na Mategemeo yao JKT

    Ni kweli unachosema, mie naamini huko ndo vijana wanaenda kuunganisha nguvu na kubadilishana mawazo namna ya kuiondoa sisiem, kwani watakuwa pamoja kwa muda mrefu, watakuja na mbinu mpya nyingi, kwa miaka 3 iliobaki watakuwa wamepikwa vijana sio chini ya milioni 1.5, litakuwa ni ongezeko kubwa...
  4. O

    Signature kwenye cheque ya kutoa hela CHADEMA ni ya nani? Na ipo kwa miaka mingapi?

    Nadhani hili ni swali ambalo halina mshiko hata kidogo, kwani unataka sahihi na waweka sahihi wa kazi gani, hata kama ni wawili wanakuhusu nini, wao hawajawahi kulalamika, wewe unataka nini, mimi sidhani watu makini kama viongozi wa CDM wanaweza kuacha suala la fedha likiwa loose kiasi hicho...
  5. O

    CCM hili la Jangwani ni kosa la kiufundi

    Umesema kwelikabisa, wakati wao CCM wanatumia mamilioni ya walipa kodi wa Tanzania, kulipa wenye malori na mabasi kuleta watu CHADEMA square, wenzao wa CHADEMA watu wanakuja wenyewe na wanachangia M4C kwa hiari yao, na kazi ya KUVUA GAMBA KUVAA GWAMDA INAENDELEA NCHI NZIMA.
  6. O

    Waziri Membe aitabiria ushindi CHADEMA uchaguzi mkuu ujao

    hata ccm wapo wanaipenda CDM, wengine wako huko kwa sababu ya vyeo walivyonavyo, mtu kama Membe angelikuwa hana cheo/uwaziri angekuwa amevua gamba na kuvaa gwanda, huyu ni baadhi wa wachache ndani ya CCM angalau hawanuki ufisadi wa kutisha, kama kuna mtu ana ushahidi wa ufasadi wa waziri huyu...
  7. O

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Chadema wakae na huyu kwa umakini mkubwa, la sivyo atakivuruga chama, kilichomleta huko ni ubunge, sio dhamira ya kweli ya kujiunga na chama.
  8. O

    Yanayofanywa na CHADEMA leo ni mapya au ni yale yale ya TANU?

    nadhani unachowambia ni muhimu sana, wanatakiwa kukaa chonjo.
  9. O

    NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    Ni kweli Nape yuko CCM kimwili roho yake inapenda CDM au chama kingine na sio CCM
  10. O

    ccm ccm ccm ccm

    wana jamii mwanzo wa mvua ni mawingu, inawezekana CDM kushinda,
Back
Top Bottom