Search results

  1. GITWA

    Riwaya za Kiswahili ambazo hazitakuja kuandikwa tena

    Nilikisoma zamani sana, naweza pata wapi tena hiki kitabu?
  2. GITWA

    Inauma sana na haivumiliki

    Dada kaa chini tulia mwachie Mungu atakupa wa aina yako. Kiwaza kumzuru ni wewe unafunga neema yako ya kupata aliye bora zaidi. Leo wewe unawaza kumtendea ubaya huyo hebu jiulize wanaume wangapi wameumizwa na wanawake na wakaacha mambo yaende.
  3. GITWA

    Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

    Tafuta ndugu mnayeaminiana alafu hamisha umiliki wote wa Mali unazoona hazifai kugawana kwenda kwa huyo na tarehe za kuamisha umiriki unazirudisha nyuma sana chini ya wakili mjanja ambaye utamtoa pesa. Mahakamani unasema zile mali hazikuwa zako ila uliaminiwa na mwenye mali na kuzimiliki kama...
  4. GITWA

    Leo nimerudia kuzisikiliza Msinitenge, Ni Kazeze, Kosa la Marehemu, Bush Party na Homa Dunia

    Mwenye hizo ngoma zote zilizotajwa hapo juu atuwekee hapa tukumbike ujana wetu.
  5. GITWA

    Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Mkuu naomba kujua tiba ya amoeba sugu zinazosababisha kikoozi sugu kisichopona.
  6. GITWA

    Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Kweli mkuu yule mwamba hakua na makuu
  7. GITWA

    Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Hapana sikuacha nilikuwa mshamba toka Mwanza huko. Nilikuwa nawachora tu watoto wa Dar [emoji2962][emoji2962][emoji2962]
  8. GITWA

    Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Hiyo ilikuwa ni kazi za mama yake, Na alikuwa na mdogo wake wa kike anaitwa Kudra. Kweli siku hazigandi.
  9. GITWA

    Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Wacha wewe. Kim nimemfahamu akiwa bado young na mimi nikiwa mdogo kwake, walikuwa wanaishi kule Mlalakua karibu na flats za jeshi. Mama yake alikuwa mhaya na design mzuri wa nguo akiwa amesomea Marekani. Kama sikosei Baba yake Kim aliwahi kuwa mkuu wa mkoa Dar.
  10. GITWA

    Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Umenikumbusha mbali kwa habari ya Kim.
  11. GITWA

    Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

    Wapi Godian Mapango, Hamis Kinye, Salum Kabunda, Aswile,
  12. GITWA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Nimeshaweka mkuu.
  13. GITWA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hapo Sasa...!
  14. GITWA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na hicho je?
  15. GITWA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kitu
  16. GITWA

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ambao hawakiona magoli ya The blues [emoji170] waone hapo.
  17. GITWA

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Yaani niliona anakayiza tu angani sijui alikua anaenda wapi bali ulikuwa ni uelekeo wa magharibi
  18. GITWA

    Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Mkuu hii ya magari ya deraya na farasi wa moto niliwahi kuona kwenye ndoto gari la farasi wa moto likitoka mashariki angani na kuelekea magharibi nilikuwa bado mtoto wa miaka kama tisa hivi lakini mpaka leo nakumbuka
  19. GITWA

    Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

    Mkuu hiyo historia ya kweli ya kabla ya 1800 naweza kuipata wapi?
Back
Top Bottom