Search results

  1. E

    Sasa umeamini kwamba Lowassa ni visionary?

    jk,lowasa,na mtoa mada ni majanga mengine kwa taifa!!!
  2. E

    HOTUBA za Bajeti Mbadala na Hali ya Uchumi nchini kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni

    l love it!! chadema mkombozi wa wanyonge!!
  3. E

    Sheikh Ponda yuko sahihi

    hivi ktk ajira mliona mtu akiulizwa jina,au elimu na uwezo wake ndio vigezo!! kama dini fulani ina wasomi wachache kwenye soko wekezeni zaidi ktk elim=suluhisho la mda mrefu tatizo la watz tunapenda vitu vya haraka haraka na pia fanyeni sensa zenn misikitini,mahekaluni, matambikoni na...
  4. E

    Wakati sheikh Ponda akitaka kamati, Serikali imesema hakuna swali la Dini, Ukabila kwenye sensa

    Alafu ukijua kuna waislamu kadhaaaa,what next!!!!kama mtu anania ya kujua idadi ya waumini wake si afanye sensa za kidini .jamani tuacheni utegemezi kila kitu kufanyiwe du!!!
  5. E

    Kuandaa usafiri wa kuhudhuria mikutano ni sahihi

    Mbona huzungumzii posho ya kuhudhuria mkutano,kilichowaleta watu pale ni posho,t-shirt na kanga-ndio maana akina mama walijjaaaa.chezea kanga weeeeeeeeeee nyinyiem na ufisadi,cdm na nguvu ya umma
  6. E

    Maaskofu kimya hapa , wamesahau kutoa laana zao ???

    mbona kama umetumwa kutoka kuzimu vile.ku post udaku ni sifa za kijinga!!!!
  7. E

    Kikwete: Boost Africa's airline industry

    ni jambo la kushangaza sana kuwaona viongozi wa tanzania kujifanya wanajua kumbe hawana chochote wakiongozwa na kilaza jk.tumechoka mahubiri,watanzania hatutaki maneno,tunataka vitendo.....wenzetu wapo kimya ila vitendo vyao vinaonekana,if ccm is ran out of ideas & visions,kwa nini wasiige nchi...
  8. E

    Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

    mtwara kumekucha,,,pamoja pipoz .......................
  9. E

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    yoyoyo!!!heshima kwenu wakuu,,,from New Delhi here na ninaunga mkono mfumo wa majimbo.LAKINI 1.kwa sababu chadema inaunga mkono serikali 3,basi ziundwe serikali ya Tanganyika,Zanzibar na Tanzania KWANZA. 2. cheo cha waziri mkuu kingebakia ili kusimamia serikali ya tanganyika yenye majimbo 8...
Back
Top Bottom