Search results

  1. C

    CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    ivi wewe unazo kweli? Hii nchi ilianza kuharibiwa na yulee M...mpeku sasa hutaki mabadiliko iko siku utakunywa maj ndo chai uende kuzurura maana hauwazi kesho we akili yako ni masaa mwisho. Mijitu mingine sijui mnawazaga kula na kulala tu!.
  2. C

    FikraPevu: Waziri Chami ajibu mapigo sakata la TBS Bungeni

    jaman wakuu hii ni too much kwan mawaziri ni vivuli tu hawana meno kabsaa. We kila kitu kaweka rais sasa hadi awatimue mabest zake ni lin. Just imagen hata kenya hawatak bidhaa ze2 ni akil au mav. Huyo ekelege ye kuzurura na v8 na wezi wengne wanaptsha uozo bandarin. Jaman rais apunguziwe...
  3. C

    Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

    huyu nae anataka uspoon kupitia lulu. Mbona alipokua anawaona wako wawili asimpeleke Sk mahakamani kwa kutembea na katoto kadogo. Kwanza kindegaten mwenyewe anapepo ngono. Achen siasa ndan ya haki hatuko jukwaan hapa. Wa2 hanamchukia lulu kwa tabia yake si kivingine. Usisahau wahenga Uzur wa...
  4. C

    Hili la Marehemu Steven Kanumba kufanyiwa MISA hp soweto A town cjui ina maana gani!

    mkuu hayo maneno ya kufunga na kufunguliwa ni sawa kabisa lakini huyu Mungu hataki ibada za wafu. Angekua mgonjwa chalii angu tungefunga kwa maombi kabisa sasa unasema unampokonya satan nn wakat keshaenda. Yesu kasema aaminie na kbtzwa ataokoka asieamin amekwisha hkmiwa. Tusjdanganye jman...
  5. C

    Hivi mh.Komba wewe kufanya hivi mpaka CCM

    presha inapanda presha inashuka. Tehe tehe tehe. Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio kalagabaho!
  6. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    yap apooo sasa wajib... wao mbona wanawakimbiza wa lasaba na form njuka huko mitaani kwao au kwasabab inakuwa ni gizan uchochoroni. Nyani haoni ...dule.
  7. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    acheni kupayuka jana, juzi na siku za nyuma mlikua mnawataja hao mapedee wenye uzto kuliko kanumba na aliesababisha hayo yote ni lulu kwa ukahaba wake. Waligombana kwa ajili ya cm je alikua anaongea na baba yake akitaka kujua kama bdo yuko tution? Msilete za mkutwa na ngozi ndo mwizi. Ni wangap...
  8. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Duh inaumiza coz hiyo cheni itawaua wengi hata kwenye mitaa ya Mjengon hapakos mambo maana pesa za kumwagwa mpaka wanachoshwa wanalala mjengon. Mimi najal je wewe?
  9. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Wakuu yeye kuwa mfuasi wa masonic ni maisha yake alochagua kumwacha MUNGU kafuata dunia. Ila tusimhukumu mwenyekujua yote ni Mungu na washirika wake. Pipoz 2lobaki tuendeleze ya kwetu kivyetu.
  10. C

    Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

    Kama huyu dem alikua anajitetea mbona marehem kakutwa na majeraha? Ina maana alikua anajipiga. Achtnguzwe vizuri na hata mdogo wa kanumba nae maana kikulacho ki nguoni.x
  11. C

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Eeepfhuu!! ilikua ni siku ndef na jakamoyo lilikua juu Meku 2nawaambia wa Tz wote kijana anatufaa na hao ccm walitaka tumfute machozi huyo sioi. Wamfute wao.
Back
Top Bottom