Lipumba, Ndugai, na ww mzee wa Tume ya Uchaguzi Mungu anawaona, iko siku mtajibu mbele za Mungu kwa jinsi mlivyoitikia kwa speed ya ajabu kutekeleza hili jambo. naona your mission is going to be achieved lkn kuna cha kulipia huko mbele za haki kwa macho ya kibinadamu huwezi amini hili ila kiroho...
muuaji kajitaja kule ni waziri wa serikali ya Magufuri, ndugu Hamis KIngwangala, kwa hiyo kama ni kutumbua majipu muanze na hamis then Mwigulu maana wote hao walikuwa wagomaji na waendesha migomo sana uwakishirikiana na makonda, dendegu, MAKALA, kwa hiyo mwandishi hapa huna hoja tafuta ingine
mm nashangaa ndani ya miezi miwili wametembelea ikulu mara mbili mbili wanapeleka sumu tu huko, mwacheni Pombe afanye kazi yake Mkapa na bab Rizmoko kaeni kando kipindi chenu kiliisha
nssf full udini hili halina usiri ni wazi tembea ofisi zote ikifika ijumaa saa sita au saba hakuna mtu ofisini watarudi saa 8 na wachache tu .kwa hiyo mm ckuelewa ilikuwaje ikafikia hapo ofisi kuwa na 80% wtumishi nchi nzima waisalamu haiwezi tokea hivyo by coincidence bu intentinally and...
open msingi wake ulikuwa nn hapo utapata jibu kwa nn unadhaurika,tatizo lenu nyie mlio feli zamani ukisoma hapo unataka kuwa sawa na UDSM huo ujinga wenu, open University, ndo mana wana siasa wengi wanapata degree zao hapo za kupewa, sasa unataka kujicompare na UDSM ama kweli rudi nyuma angalia...
mko wabunge kama 200 plus wa CCM, tupe anagalau % wise wabunge wa CCM walio donate pesa yao kwenye jamii kuliko kuja na hoja nyepesi hapa kwani hujui kama kuna mfuko wa jimbo, hiyo pesa ni kwa ajiri ya gari sio maendeleo ya jimbo, nasasri yy nui utashi wake, so kachukue posho yako Lumumba mkuu...
pole ake mama Pinda get well soon, lkn vipi tena STK, kwani ni mtumishi wa umma au mm ndo sielewi hapo au bado hawajakabidhi offisi ya serikali na mali za umma
wala rushwa wakubwa sasa mnataka Rais asiseme ukweli, hamli rushwa sasa mnasingizia kuwa ameingilia uhuru wa kula rushwa au kutoa hukumu, yy kasema kuna kesi zikiisha kuna uwezekano wa seriakli kupata 1 trillion hajasema ni kesi gani serikali nayo inadai sio kwamba kila kesi huwa ina shinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.