Search results

  1. M

    Natafuta NOAHA ya kununua

    Kaka ninayo Noah mpya rangi pearl white, Ya mwaka 1999, ninauza 9.5m kama uko Serious ni pm au nicheki 0717659655
  2. M

    Inahitajika GX 110 haraka!!

    Nimeku pm mkuu... cheki na picha kwenye inbox yako ya yahoo kisha tuwasiliane kwa simu kama utahitaji kuiona
  3. M

    Nataka suzuki escudo, naomba kujua uzuri wake na bei zake show room!

    Kaka hiyo kitu unaweza tupia picha mbili tatu humu ndaani? Natafuta hiyo gari pia...
  4. M

    Nyumba mbili zinauzwa kwa pamoja!!! Tabata Chang'ombe

    Nyumba zipo tabata chang'ombe mbele kidogo zilipo kota za veta, km2 kutoka tabata-baracuda!! **Nyumba hizi zipo katika kiwanja kimoja ambacho hakijapimwa bado ila kina umiliki halali. **Gari linafika hadi nyumba zilipo. **Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0714593674 / 0717659655. Karibuni!!!
  5. M

    Avatar dongle decoder!..

    Mwenye kufahamu wapi zinapatikana msaada tafadhali !!!!!
  6. M

    Toyota RAV 4 yauzwa!!!

    Milango ya mazungumzo iwazi ndugu zangu! Bei tajwa isiwe kikwazo cha wewe kushindwa kuja zungumza biashara. "..... Biashara isiyo na mazungumzo si biashara kwa Mtanzania."
  7. M

    Toyota RAV 4 yauzwa!!!

    Likiuzwa kwa hiyo bei je??? Walah ntawaomba JF wakuvue uanachama , tupinge!!!?
  8. M

    Help, blue screen of death

    Huenda bado anaorodhesha possible issues ambazo anahisi zimesababisha hilo tatizo lake... Labda niulize swali muhimu, unatumia antivirus gani mkuu? Na je ipo updated? Kuna kirusi kinachohusishwa na file la rundll32 linalopatikana kwenye windows folder. Kirusi hicho husababisha errors za namna...
  9. M

    Mubarak reported clinically dead.

    Hata mimi hii inanipa walakini!!! Naangalia BBC nao wanasema hajafa pia...!!!
  10. M

    Toyota RAV 4 yauzwa!!!

    Toyota RAV 4 yauzwa. Wasifu wake ni kama ifuatavyo; ** Imetengenezwa mwaka 2004 ** Imeingizwa nchini mwezi mei, 2012 ** Ni "Automatic Transmission Gear" ** Ukubwa wa engine ni 1800cc na VVTi ** Ni ya milango mitano (5) ** Imetembea km 119,000 ** AM/FM Radio na CD player Bei 26,000,000 Tshs...
Back
Top Bottom