Search results

  1. M

    Esther Bulaya VS Esther Wassira

    Cjasikia huyu E.Wasira katangaza kugombea huo ubunge, nafikiri si kila mwana siasa mchango wake uje kwa kugombea ubunge,uraisi au udiwani, mchango wa mtu unaweza kuwa hata kwa ngazi ya ndani ya chama kwa kuleta fikra mbadala kwa ajili ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla, ni kweli mimi nilimsikiliza...
  2. M

    Mapungufu niliyoyaona pale Jangwani - muhimu CHADEMA kuyafanyia kazi

    jamani si kila mtu anayekosoa ana nia mbaya..kuna namna ya kuboresha kulingana na mtizamo wake..upande wangu nimeona kuna point fulan aliposema au kudai tathimini..ni lugha tu aliyotumia cha msingi naona alilenga kitu kinaitwa baseline survey..hii hufanyika unapotaka kufanya jambo anatakiwa kuwa...
  3. M

    Maandamano makubwa kumpongeza Jakaya Kikwete!

    jamani......hivi unapojenga nyumba ikafika wakati wa kupaua ukagundua nyumba haiko imara na kuchukua uamuzi wa kuibomoa ili ujenge nyingine...unapoibomoa tayari mafundi washakula chao,vifaa vishatumika nk ambapo vingi hutavitumia tena...hii ni hasara na unastahili POLE na sio pongezi...kwa hiyo...
  4. M

    Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

    katika ujenzi bora wa taasisi yoyote..ambayo inapokea misaada ya aina yoyote...ni jambo jema sana kuanisha maihitaji ya taasisi katika malengo yake ili michango inapo tolewa iwe ni kazi rahisi kuielekeza mahali gani iende, pia kuondoa mivutano ya kimtazamo wapi iende..si nzuri sana unapopata...
  5. M

  6. M

    Unaishauri nini chadema kuelekea safari ya ukombozi, 2015

    viongozi,wanachama,wapenzi,wafuasi.......kila mmoja afanye jukumu lake...wote wasibaki wanafikiria kushinda uchaguzi uliopo mbeleni...so wenye kupanga mikakati waendelee...wenye kupuni ni jinsi gani changamoto na ugumu wa maisha vitakabliwa nao waendelee......la msingi kila mmoja afanye sehemu...
  7. M

    Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

    Hongera Nassari-kazi iliyopo ni kuwa mbunifu katika kuleta maendeleo
Back
Top Bottom