Search results

  1. A

    LCD Projector mpya aina ya EPSON EX5200 INAUZWA

    Kama unahitaji tuwasiliane kwa simu au ujumbe mfupi kwa namba hii - 0787 527394 Nauza Projector Mpya kabisa aina ya EPSON LCD EX 5200 ndani ya box lake original Gharama ni Tsh.700,000 na natoa Warrany ya Mwaka mmoja! Projection System: Epson 3LCD, 3-chip...
  2. A

    Nauza Panasonic DVD Stereo System yenye Sub woofer & Surround Speakers 2

    Maelezo kamili yanapatikana hapa Mkuu http:http://dl.owneriq.net/2/218eb66a-70b4-4436-9fdb-b4dfadbe336e.pdf
  3. A

    Nauza Panasonic DVD Stereo System yenye Sub woofer & Surround Speakers 2

    Kama unahitaji huu mziki bei inaanzia 500,000 na tunaweza kuelewana na pia naweza kukuletea ulipo kwa makubaliano maalumu! Tafadhali nipigie au tuma message kwenye namba hii 0787 527394 au nitumie barua Pepe hapa - dalajogi@gmail.com 5DVD/Video CD/CD disc changer 3000watss na ninatoa Warrant...
  4. A

    Nauza Panasonic DVD Stereo System yenye Sub woofer & Surround Speakers 2

    Imetumika kidogo na maelezo mengine cheki hapa http://dl.owneriq.net/2/218eb66a-70b4-4436-9fdb-b4dfadbe336e.pdf
  5. A

    Nauza Panasonic DVD Stereo System yenye Sub woofer & Surround Speakers 2

    Kama unahitaji huu mziki bei inaanzia 500,000 na tunaweza kuelewana na pia naweza kukuletea ulipo kwa makubaliano maalumu! Tafadhali nipigie au tuma message kwenye namba hii 0787 527394 au nitumie barua Pepe hapa - dalajogi@gmail.com 5DVD/Video CD/CD disc changer 3000watss na ninatoa Warrant...
  6. A

    Anayefahamu Tiba hii, Anisaidie.

    Kwa kweli kufanya Ngono bila kutumia Condom kumeumbwa kiasili hasa na raha yake sio mchezo hasa ukimpata anayejua Shughuli yenyewe! Tatizo ni haya masuala ya uaminifu na Magonjwa ya siku hizi! Kufanya Ngono na Condom kunapoteza ladha na raha halisi ya tendo lenyewe na ni bora uache kabisa jambo...
  7. A

    Kuungama Noma!!!!!!

    Yaani mie mbavu sina kabisa! Nashukuru maana kucheka ni tiba kubwa ya Hisia na Akili!! Keep it up Bundewe!!!
  8. A

    Anayefahamu Tiba hii, Anisaidie.

    Unaweza kuwa na tatizo linolitwa Simplex herpers! Huwa ni gumu sana kuonekana kwa urahisi! Kama uko Dar nenda Agakhn Hospital ukamwone Dr. Shafiq au pale Regency kuna Doctor wa akina Mama ambaye ni bingwa kwa uchunguzi na Matibabu. Fanya haraka kupata matibabu maana unaweza kupata madhara...
  9. A

    The ambassadors of love 1.

    Sijasema kuwa binadamu alikuwa Sokwe zamani ila kama Viumbe wengine amepitia mabadiliko mbalimbali kuanzia ya Kiakili mpaka ya Kimwili! Fanya utafiti kuhusu hili na utathibitisha na Pia kwa Mungu unayemuamini kuna siku utagundua kuwa ulikuwa unamwamini MUNGU ambaye siye! Anza kujikagua...
  10. A

    The ambassadors of love 1.

    (Dirt Paka naomba huwe na fikira Pevu kwani hayo maneno uliyo yanukuu yanatoka kwenye Biblia ambayo tunadai ni Maneno ya Mungu wakati Biblia iliandikwa na kuchambuliwa na Wakotoliki zama hizo hivyo ukweli Mwingi uliondolewa ndani yake! Kagua Imani yako na unacho amini na unaweza kushangaa kwa...
  11. A

    Msaada wanajf dell 610 inagoma kuwaka

    Hard disc inaweza kuwa imekufa tayari hivyo kuhitaji iwe formatted kisha kila kitu kiwe installed upya! Je huajiangusha Mkuu...
  12. A

    Laptop yangu haitoi sauti Toshiba

    Mimi ni mtaalamu aliyebobea kwenye masuala ya Electronics repair pamoja na ICT! Ukienda kwenye wesite ya ZOOM TANZANIA chini ya Electronics repair specialist utakuta details zangu na kama upo Dar itakuwa rahisi kwani tunaweza kuwasiliana ukaileta tuikarabati bila uswashili. Karibu...
  13. A

    TCRA mko wapi mbona Ting wanaleta uhuni!!!

    Hilo tatizo la TING alilolisema White Wizard hata mimi ninalo tena kwangu linahusiana na ubora wa Sauti kwenye Decorder yao aina ya AAL 2 ambayo niliinunua ili kurekodi lakini ni bomu tuu! Nimesha kwenda TING makao makuu mara nyingi na wameshindwa kabisa kutatua tatizo langu mpaka sasa na...
  14. A

    Ogopeni Simu! R.I.P Kanumba.

    Simu haina tatizo ila matatizo yako kwa Watumiaji wa kifaa hicho cha mawasiliano kutokana na tafsiri potufu nakadhalika hivyo kuchangia kuleta matatizo mbalimbali!!
  15. A

    Sio matusi tu alihamasisha kutoa sumu (kuuwa)

    Nakuunga mkono Mkuu kwa hilo!!
Back
Top Bottom