Search results

  1. M

    Wabunge 8 na madiwani 2 wa CUF waliofukuzwa, Warudishiwa Uanachama hadi kesi ya Msingi itakapotolewa Uamuzi na Mahakama

    Je kuna order ya Mahkama kutengua uteuzi wa wale wabunge wengine wapya? Na je kuna order ya kufuta kiapo chao walichoapa mara baada ya kuteuliwa. Kama order hizo hazipo wabunge hao nane wa Zamani wataweza kurudi bungeni?
  2. M

    Baba wa taifa kupata Mabusu mubashara, hili limekaaje?

    Ni Wajukuu zake, mmoja hapo ni mtoto wa Pili wa Anna Nyerere.
  3. M

    Geoffrey S. Wasonga, aliyefungua kesi ya kupinga uchaguzi wa TLS ni nani?

    Kwa post yako inaonyesha hakuna Shaka yeyote ya usomi wake, Umesema Tabora Boys, Tambaza na UD ametumia jina la Elia William.. Tatizo lake ni kubadilisha jina. Je kuna kosa lolote mtu kubadilisha jina Kama taratibu zote za kisheria zimefuatwa? Naona kesi hii ni tofauti sana na ya Bashite.
  4. M

    Rais Dr Shein amemuapisha Jaji Mkusa Issack Sepetu kuwa Naibu Jaji Mkuu wa Zanzibar

    Ameapishwa kuwa Kaimu Jaji Mkuu, siyo Naibu Jaji Mkuu.
  5. M

    Mbowe atangaza operesheni ''Kata Funua''

    Haya ni matumizi mabaya ya Ruzuku
  6. M

    MAHOJIANO MAALUMU: Jussa asema CUF iko ngangari

    Watu wa Visiwani wanasema Jussa ni Bwabwa!
  7. M

    Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    Huyu ni yule wakili wa watuhumiwa (Uamsho) wa Kesi ya Ugaidi, inaonyesha yale yaliyokuwa yakisemwa kuwa uamsho ni CUF yana ukweli.
  8. M

    Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    Kesi imefunguliwa na Bibi Yule na mashoga zake.. tusubiri episode 2
  9. M

    Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    Nasubiri yatokee Kama Yale ya Kesi ya tafsiri ya Mita 100... sijui CUF Seif watakimbilia wapi.
  10. M

    Kama Msajili anamtambua Lipumba kama mwenyekiti wa CUF,Kwanini tovuti yake alimuweka Twaha Taslima

    Hapo waulizwe wanaomanage hiyo website walipewa maagizo na Nani kuweka hizo info kuwa Taslima ni kaimu Mwenyekiti, na baadae nani kawatuma wabadilishe.
  11. M

    Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Wanasema Lipumba amejiuzulu katika tarehe aliyoandika barua, na Uwenyekiti wake ulikoma siku hiyo. Leo kusema kuwa alikuwa na mamlaka ya kuitisha Mkutano Mkuu ni kujichanganya, mamlaka hayo ametoa wapi? Na Kama bado alikuwa na mamlaka hayo basi hoja ya Lipumba kuwa Mkutano Mkuu haukuwa halali...
  12. M

    Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Nimesoma yote, Nime quote kipande hicho ambacho Maalim amejichanganya.
  13. M

    Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Hapo naona Maalim Seif anajichanganya.
  14. M

    Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Tume ya Utumishi ya Mahakama (kama unavyoiita tume ya ajira) ipo siku nyingi kabla hujazaliwa. Tume hiyo haikuanzishwa Kwa sababu ya Lissu, ipo kikatiba!
  15. M

    Barua ya Baraza Kuu la CUF kwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Barua imeandikwa na Maalim Seid Sharid Hamad, huyu ni Katibu Mkuu mpya wa CUF? CUF wanasema barua ya msajili ni batili, je wanao uwezo huo wa kubatilisha hiyo barua? Kwanini wasimshtaki msajili hata kwa njia ya judicial review, wataendelea na malumbano mpaka lini?
  16. M

    Ushauri: CUF hameni Buguruni mumuache Lipumba alindwe na polisi

    Pesa za kukodi jengo jengine kwa sasa wanazo?
  17. M

    Tundu Lissu: Msajili wa Vyama uliikumbuka hii sheria kwenye Maamuzi ya CUF?

    Wana sheria na wenye knowledge ya sheria ya mikataba na ahadi wamenielewa vizuri. We mfuata mkumbo kojoa ukalale.
  18. M

    Tundu Lissu: Msajili wa Vyama uliikumbuka hii sheria kwenye Maamuzi ya CUF?

    Mpiga mayowe hapa ni wewe mfuata mkumbo!
  19. M

    Tundu Lissu: Msajili wa Vyama uliikumbuka hii sheria kwenye Maamuzi ya CUF?

    CUF Seif wakienda mahkamani issues zitakazojadiliwa ni Kama Lipumba alijiuzulu au la, na mambo ya msingi yatakayokuwa kwenye hoja ni taratibu za kujiuzulu kwake na matakwa ya Katiba ya CUF kama yalifuatwa au la. Issue ya estoppel ni ngumu sana kuisimamia Kama Katiba yenyewe na taratibu...
Back
Top Bottom