Search results

  1. M

    Ujasirimali mtandaoni

    RevenueBrust.com - Earn 10$ Per Referral Link Visit ! Earn 2000$ monthly from home
  2. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Umemchafuwa wewe Ngeleja hajara rushwa laa.. Utuambie siasa za maji taka
  3. M

    William Mganga Ngeleja anafaa urais 2015

    Unajitekenya na kucheka mwenyewe. Huijui nguvu ya kijana William wewe.. Ngoja uone.
  4. M

    Ngeleja: Mgawo wangu Akaunti ya Tegeta Escrow ni wa msaada

    Isome vizuri wewe hiyo sheria ya maadili maana ss tulisha isoma na kuielewa. Labda nikuulize swali; Je ni wakati gani kiongozi wa umma anatakiwa kutoa taarifa ya mapato na matumizi
  5. M

    William Mganga Ngeleja anafaa urais 2015

    Ngeleja ni jembe upinge,ukatae ukweli kijana William ni jembe lenye makali. Kelele za vyura hazimzuiagi Ng'ombe kunywa maji..
  6. M

    Ngeleja: Mgawo wangu Akaunti ya Tegeta Escrow ni wa msaada

    Ni nchi ya kidikteta pekee ambayo haimsikilizi mtuhumiwa. Tuhuma sio kosa, ili liwe kosa ni lazima ithibitishwe kisheria La kama unataka tuishi kwa akili FYATU basi nadhani ata wewe leo usingekuwepo uraiani kwa tuhuma tu. Hakuna kiongozi asiye na tuhuma na kwa akili yako hao wote wasipewe nafasi...
  7. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Ngeleja umeonesha uvumilivu mkubwa na nidhamu ya juu kwa chama chako hadi kufika jana, Mungu akupe nguvu na afya njema katika safari uliyoikusudia moyoni mwako kwa watanzania
  8. M

    Ngeleja apongezwe kwa hili

    Hacha kupayuka tuuu.. kama Ngeleja hana presidential materials tuletee wa kwako km sio kimeo. Mtuache na kijana mwenye legacy Ngeleja
  9. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Wewe tu na akili zako, wazee wa bara si km hao wazee wenu wa pwani wanaonunulika, Ngeleja ni mtu wa watu
  10. M

    Ngeleja apongezwe kwa hili

    Hakuna wa kum delete Ngeleja ktk siasa za bongo, legacy yake ni kubwa wizara aliyocheza nayo ni kubwa na kaitendea haki, labda ujitoe ufahamu tuu..
  11. M

    Ngeleja apongezwe kwa hili

    Duwa la kuku hilo.. Ngeleja atapeta tuu maana ukweli umeshajulikana ktk tume ya maadili
  12. M

    Ngeleja apongezwe kwa hili

    Nilishawai kusema ktk uzi mmojawapo uliokuwa unamzungumzi Ngeleja, kuwa mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Na haki ina sifa kuu tatu 1.Itolewe kwa mlengwa 2. Kwa wakati 3. Itolewe bila masharti. Ngeleja ni miongoni mwa Vijana ambao ni azina kubwa sana ya taifa, amelitendea haki taifa la...
  13. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Kweli wewe Mama Mdogo na akili yako ndogo
  14. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni hayo ni maneno ya watu wenye busara. Ngeleja ni miongoni mwa viongozi wachache vijana ambao wana legacy nzuri ktk utendaji kazi wao. Na km tukitamani kumpa kiongozi kijana kushika nchi basi Ngeleja ni first priority ndio wafuate wengine
  15. M

    Ngeleja azima hoja ya Escrow

    Amejieleza vizuri sana ndugu Ngeleja katika hili swala la escrow, ni wazi kuwa issue hii ilichezwa kisiasa kwa lengo la kuwatoa watu kafara. Swala la kujiuliza hv kwa nn zitto akututajia majina ya muamala wa Stanbinc na wala hataki kuzungumza
  16. M

    Kwa vipimo hivi Ngeleja kawapita wanasiasa vijana ndani ya CCM

    Hatuendeshwi tena na mihemuko ya tuhuma za kutengenezwa ambazo zinekuwa na kusudi la kuwafumba macho watanzania wasione. Ngeleja ni kijana sahihi kwa wakati sahihi
  17. M

    Ngeleja anastahili hili kwa uwezo wake

    Dunia imekuwa ikiwashuhudia wenye kashifa ndio wanashika dola umeshawai kufatiria maisha ya Rais Zuma au Clinton ? Mtu km hana kashfa huyo ni dormant ndio kusema hana impact yoyote
  18. M

    Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Tusisahau hata prof. Muhongo alisema vikaratasi vya ole sendeka ni vya maandazi mwisho ikawa pwaa! Ngeleja ana reasons behind na pia alijenga hoja kulingana na swali aliloulizwa
  19. M

    Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Kwa hiyo zitto naye ataenda ktk baraza la maadili au ndio kujitoa ufahamu
  20. M

    Ngeleja aongoza tafiti kwenye media - Urais upande wa vijana

    Jengeni hoja kwann Ngeleja asiwe maana halo juu kumeweka wazi Kuwa ktk kundi la vijana ngeleja ni tishio. Mbona mnatumia mihemko badala ya hoja. Mtake msitake hawa wanaomuelezea ngeleja kuhusu urais wana facts zinazo wagaidi ila mnaoponda mnatumia hisia tu . Sisi ndio vijana tukishindwa kujenga...
Back
Top Bottom