Search results

  1. M

    Hotuba ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi

    ni kweli . mungu atusaidie serikali itende haki
  2. M

    Vuai Nahodha: Serikali ya Muungano na Serikali ya Zanzibar zapaswa kugawana mapato

    maajabu ya dunia, anajua anachoongea kweli?!!!!!!
  3. M

    Mabomu kwa misafara ya Lowassa!

    Mungu ni wa kuheshimiwa, Usimlinganishe Yesu na EL.
  4. M

    Kontena la futi 40 lililosheheni meno ya tembo lakamatwa Unguja!

    inaumaaaaa... inaumaaa... aaghhhh.... kweli yawezekana haya... na bado tunakenua meno tunasema wana nguvu maharamia... tuanaahirisha zoezi bungeni....inawezekan kuna laana kwenye akili zza watu fulani.. sio bure. kabisa....
  5. M

    Zanzibar haina uwezo kuchangia sawa na Bara’

    Muda umefika serikali iongelee wazi kuhusu muungano, ni idara zipi za serikali zipo chini ya muungano na kila upande wa muungano unachangia kiasi gani, haya malalamishi yametuchosha, just call a spade a spade. ili watanzania wachambue waamue kama kweli huu muungano ni mzigo kwa ZNZ, basi...
  6. M

    Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

    Hivi babu yangu aliyepigana vita ya maji maji Mbona sijaona jina lake likitambuliwa Kwenye historia ya nchi hii au Hata inayosimuliwa na MS, au kwa vile babu yangu hakusoma,...? Hata yeye alimbeba Nyerere kwa baiskeli akiieneza TANU,,, Mbona yeye hamumtaji.? Au kwa vile Hana jina la shehe au la...
  7. M

    Waislam: Mahakama ya kadhi haiepukiki katika Katiba Mpya

    Hivi mfumo kristo unaolalamikiwa Ndio huu huu unaombwa Kusimamia na kuongoza mahakama ya kadhi,,? Kwa nini waislam wasijisimamie wenyewe Mpaka serikali iwaingilie mambo yenu, tuamieni hekima jamani.
  8. M

    Tanzania Inatawaliwa Kijeshi na Luteni Kanali Jakaya Kikwete

    Hahahaa.....Yaani hii nchi ingetawaliwa kijeshi tungeshawapita china kwa maendeleo ya kiuchum
  9. M

    Zanzibar iwe mkoa wa Tanzania

    Hahahah... I like this
  10. M

    Tanzania tumelaaniwa kweli: Chenge ni mtu wa kumpa Kamati Bungeni?

    Sasa is Ndio wabunge mliowachagua,,,""" mnalalamika nini,, yaani siwaelewi
  11. M

    MUST READ: Why Obama has skipped Kenya in his Africa tour

    Karibu Baraka Obama, karibu sana Tanzania.
  12. M

    Rwanda defence force retreat-kigali (picha)

    Upo ndani wapi??? Wanajeshi wetu ni imara kuliko hao wa tutsi, hizo retreat ni issue za kawaida sana JWTZ hawaitaji promo.
  13. M

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    ni kweli kabisa, kama hapa kwa mkuu wa mkoa wanapiga mabomu wakati watu watoka maofisini kwwenda majumbani kwao, ka si ukosefu wa akili ni nini? tena kwa kodi zetu tunazolipa, halafu wanasema wananchi wamepandikiziwa chuki, yaani wao wenyewe ndio wanaoipandikiza na kuinyeshea maji hiyo chuki imee.
  14. M

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Your head is full of ----, even our army is fully equipped, we can take any one south of Sahara, including SA, and yes SA, ,,,,don't you dare think our army is weak, we just don't like publicity,.....
  15. M

    Rais wa Zanzibar Dr. Shein atuea makadhi watatu wa mahakama ya kadhi

    Never say that, you never know, in 50 years frm now 55 pecent of Zanzibaris can become Christians ...... Especially with the way the way we are pushing for one government ,,,,, .
  16. M

    Nape Nnauye: CCM tunapinga Uwepo wa Serikali Tatu.

    Kweli ukishaangaa ya musa utayaona ya firauni,.!,
  17. M

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    Hayatuhusu hayo,
  18. M

    Mbunge aangua kilio bungeni kisa yeye kupokea taarifa za msiba akiwa juu ya mti!

    Pole mama, kupokea taarifa ya Msiba namna hiyo haifai, mungu akupe faraja maana uchungu ulionao bado unaonekana live.
  19. M

    Zanzibar kesho itapata uhuru wake

    Mnasubiri nini,,. Ni kubadilishana Duka na mpemba pale kariakoo, wahi ndugu kabla hayajaisha,.
Back
Top Bottom