Search results

  1. L

    Rais wa Malawi auza ndege ya rais na magari 60 ya kifahari..je ni mtego kisiasa?

    Na sisi hatuhitaji kuiuza kama huyu mama, ni kupunguza safari za Raisi tuu na kulazimisha viongozi wa serikali kupanda economic class wakisafiri. Hili likifanyiwa kazi tunajenga reli ya kati mpya bila msaada kutoka Japan
  2. L

    Rais wa Malawi auza ndege ya rais na magari 60 ya kifahari..je ni mtego kisiasa?

    Angalia uhamuzi wa kiume uliofanywa na mwanamama, nadhani tunahitaji raisi mwanamke this time Malawi sells jet to avert food crisis - Africa - Al Jazeera English
  3. L

    Funga kazi akili ku mkichwa!!!

    Kuna wadada 3, chui, kipepeo, carpet, .......bado kimoja
  4. L

    Jamani huu si uchawi saidia

    Jamani watanzania hebu tuache uvivu wa kufikiri na kumsingizia shetani kwa kila kitu. Kama kuna dhambi ya kumsingizia shetani nadhani waafrika tunaongoza. Mbona kila kitu siku hizi watu walishafanyia utafiti na majibu ya utafiti yanapatikana bureeee kwenye Internet?. Hizi ndio sababu zinatufanya...
  5. L

    Jamani huu si uchawi saidia

    Re: Jamani huu si uchawi saidia Jamani watanzania hebu tuache uvivu wa kufikiri na kumsingizia shetani kwa kila kitu. Kama kuna dhambi ya kumsingizia shetani nadhani waafrika tunaongoza. Mbona kila kitu siku hizi watu walishafanyia utafiti na majibu ya utafiti yanapatikana bureeee kwenye...
  6. L

    Jamani huu si uchawi saidia

    Jamani watanzania hebu tuache uvivu wa kufikiri na kumsingizia shetani kwa kila kitu. Kama kuna dhambi ya kumsingizia shetani nadhani waafrika tunaongoza. Mbona kila kitu siku hizi watu walishafanyia utafiti na majibu ya utafiti yanapatikana bureeee kwenye Internet?. Hizi ndio sababu zinatufanya...
  7. L

    Nini mtazamo wako kuhusu mama wa kambo

    Hua mara nyingi tatito linakua kwa mama halisi wa mtoto na ndugu zake kwa kutaka kumwonyesha mtoto kua wanamjali kuliko mama mlezi wakati ukweli ni kua mara nyingi unakuta hawana uwezo wa kifedha (kumsomesha n.k). Mimi nimelelewa na mama wa kambo baada ya mama kufariki nikiwa na miaka 13 kusema...
  8. L

    Ikulu yamjibu Dr. Slaa juu ya Rais Kikwete na Udini

    Hili mbona tamko mbona limesimama?, yani hapa mzee Yusuph mwenyewe aliandika mistari,kurugenzi yamawasiliano ikulu wakaweka muhuri na sahihi tuu. Kitu ni tamko la ikulu kuhusu watu wanaomchafua mama salma kwa kumuhusisha na umiliki wa home shopping center...... Tafuta hili tamko ndio utajua...
  9. L

    Serious, natafuta rafiki wa kike

    Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32 na nimeajiriwa. Elimu yangu ni ya chuo kikuu, natafuta msichana mwenye sifa zifuatazo ili tuwe marafiki na ikifaa kama wote tutaridhia tunaweza kuwa wachumba. 1. awe mkristo 2. awe na elimu kuanzia chuo kikuu, (awe anamalizia masomo au ameshamaliza na...
  10. L

    Mwakyembe una hii ripoti?

    Nimekutana na hii ripoti ya world bank sijui kama mwakyembe anayo, naomba mtu mwenye contacts zake am-fowardie ili afanyie kazi sehemu zenye udhaifu zilizo wazi kuziona. pia mimi nina swali la kizushi kwako mh.Mwakyembe, kwanini bandari ya Tanga isifufuliwe ikafanya kazi kama zamani?, kwanini...
  11. L

    matokeo mabovu ya Form IV. Chanzo ni Ndugai tena akishirikiana na professor Maghembe?

    Wakati taifa likipigwa na butwaa kuhusu matokeo ya kidato cha nne. hebu tujikumbushe watu waliotufikisha hapa tulipofikia ...... soma gazeti la wakati huo mchakato wa kudidimiza elimu ulipoanzia na wale wabunge wa chama tawala walipoushangilia. fungua hii link hapa chini OPEN HEART, OPEN MIND...
  12. L

    Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

    EE bana mmenikumbusha enzi za Mkanda boy. Nakumbuka enzi za tuition pale Mtendeni jamaa alipiga darasa tar 25 na 26 December na darasa likajaa, waliokosa tar 27 akawa anasema ...."Mpunga boy haoniiiii........ akimaanisha wameachwa kwenye topic. jamaa alikua anapiga suti nyekundu kila siku na...
  13. L

    Nahitaji urafiki na msichana aliye serious

    Mimi ni kijana miaka yangu ni 32, elimu yangu ni shahada ya pili. Nahitaji rafiki wa kweli ambae kama Mungu akipenda tunaweza kuwa wachumba. Msichana awe na umri usiozidi miaka 26, awe na angalau na shahada ya kwanza au awe mwanafunzi wa chuo kikuu, awe mkweli na anayemuogopa Mungu, Mkristo, awe...
  14. L

    Zitto aivua nguo serikali maandamano ya Gesi Mtwara | Dar inachangia 80% ya pato la Taifa!

    tuendeleze hesabu mkuu.... Tumeambiwa kua deni la taifa kwa sasa limefikia trillion 22 (hapa hilo deni tunalodaiwa na mafisadi yaani -10% halijajumlishwa). Rais ametangaza idadi ya watu kua tumefikia 44,929,002 (alhamdulah tumeongezeka angalau deni la kila mmoja limepungua) twende kwenye...
  15. L

    Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

    Watanzania tuache mambo ya kumsingizia shetani na Mungu. Hakuna chochote hapo, Naomba ufuate ushauri ninaokupa japo kuna wachache wameshakupatia. kwanza hapa hakuna cha shetani wala nini. Fanya utafiti mwanyewe halafu niandikie majibu ya utafiti wako, siku ikitokea hiyo angalia ulikua umelalaje...
  16. L

    Msamaha wa kodi kwa watumishi wa umma kufutwa. Imekaaje?

    wanajamii angalieni hii dialogue hapa na kutafakari Is British/Canadian desperation for Tanzanian gold a result of recession?-Africa Today-06-12-2012 - YouTube!
  17. L

    Msamaha wa kodi kwa watumishi wa umma kufutwa. Imekaaje?

    Hii ndio bongo lala salama......, angalia jinsi tunavyoonekana kwa nje Is British/Canadian desperation for Tanzanian gold a result of recession?-Africa Today-06-12-2012 - YouTube!
  18. L

    Ikulu yalijibu Gazeti la Dira ya Mtanzania: Yataka watoe majibu au wachukuliwe hatua...

    Mpaka ifike 2015 hii sehemu inayoitwa ikulu itakua imeshageuzwa ukumbi wa taarabu............ni utabiri tuu :car:
  19. L

    Vichwa vya magazeti kesho

    Nipashe: Mwenyekiti wa makampuni ya IPP akisalimiana na Mheshimiwa raisi
  20. L

    Vichwa vya magazeti kesho

    mkuu umeniacha hoi hapa :rockon: Uhuru: Mkuuwa mkoa ahimiza utumiaji wa vyoo vya kisasa kata ya manzese
Back
Top Bottom