Search results

  1. C

    DC nusura amsweke rumande padre

    I doubt your reasoning capacity, jaribu kufanya analysis kwa utulivu sana - maeneo kama mtwara, lindi, tanga na yale unayoyafahamu wewe then angalia na hicho ulichokiandika, usichukue sample ya maeneo kama dar ambayo hao walioendelea unaowazungumzia ni wahindi na waarabu, take your fellow...
  2. C

    Wito kwa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari (tafadhali someni)

    Naungana na wote WALIOLAANI KWA NGUVU ZOTE kuwekwa kwa picha ya marehemu kwenye mitandao ya kijamii, ni utoto na ulimbukeni wa hali ya juu sana, kama mtu umeguswa kwa namna yoyote omboleza kistaarabu. Moja ya mtandao hao hadi sasa bado wameweka hiyo picha ni http://www.globalpublishers.info/...
  3. C

    Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

    Huu sio mtazamo sahihi hata kidogo (mtazamo wa kishabiki zaidi kuliko uhalisia), CDM ni chama kama CCM, na kwa sababu Chama ni kitu hai lazima kipitie stages of growth kama inavyoonekana hapa chini Meaning kinazaliwa, kinakua, kinafikia hatua ya kukomaa, kinazeeka na kufa. CDM ipo kwenye...
  4. C

    Kijiji cha Ruhita Karagwe kunawaka moto, tabaka tawala mmetutelekeza tena sisi masikini!

    Mh Waziri Tibaijuka anasema hao wawekezaji hawana tatizo, na Serikali haitawazuia kuja. Lipo tumaini moja tu - to vote for change 2015 otherwise sisi wenyewe tutaja uzwa mchana kweupe
  5. C

    USHINDI wa Obama ni fundisho kwa wapinzani nchini Tanzania

    Nnauye Jr Ni umbumbumbu kufananisha siasa za Marekani na Tanzania, Democrat na Republican ni vyama vikongwe ambavyo vyote kwa nyakati tofauti vimepata ridhaa ya kuongoza nchi na hivyo kuwafanya Wamarekani kuona nani ni mkweli katika utekelezaji wa ahadi zake na nani ni mbabaishaji...
  6. C

    Askofu akimbia makazi Zanzibar

    Bangi at work, ndg akili za mbayu wayu changanya na zako, una uhakika na hicho unachokisema?
  7. C

    Picha: Huyu ndiye farid wa uamsho

    wakati wanachoma wengine walionekana wakigonga lager na kukimbia na kreti za bia, njaa mbaya jamani
  8. C

    Vurugu Z'bar:Askari mwingine auawa

    Hizo ndo tunaita bangi za mchana kweupeeeeeeee, CDM wanaingiaje katika huo ***** unaofanywa na hao wanaojiita uamsho? pole
  9. C

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Tamko lililojaa busara na hekima,
  10. C

    Makanisa yavunje MoU na Serikali...

    Kweli karama ya mjinga ni majungu tu, hivi huwezi kuelewa kinachozungumzwa kwamba kimemaanisha nini, unadhani wametamka kumsaidia aliyepigwa kofi, wanazungumza mfumo ulivyokuwa loose ambao hata wewe kesho unaweza kupigwa au kutendewa ovyo serikali ikakaa kimya, dont think that you are safe -...
  11. C

    CCM na Rushwa: Uchaguzi CCM Mkoa Pwani wavunjwa kwa Rushwa.....

    Kuitenga CCM na Rushwa ni sawa na Kuutenga mzoga na funza/inzi waliouzingira huo mzoga, it is practically impossible. lakini walipofikia ni patamu hapo panaitwa mwenye kisu kikali.................................ndo mla nyama, kama huna kanunue au noa kuongeza makali
  12. C

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    uwezo mnao, chinjeni wakristo wote, maana ndo maelekezo ya Mungu wenu na siku mkibaki wenyewe mtakuwa salama kama Syria, Tunisia na kwingineko, kwa taarifa yako hata wewe haupo salama,
  13. C

    Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

    Huyo Rais unaesubiri tamko lake ni yupi?? au ndo huyu ambae kila wakati anacheka cheka hata katika issue za msingi? keep on waiting
  14. C

    Tunduru: Gari ya mchungaji, mfuasi wake pamoja na nguruwe 6 wachomwa moto

    Watunduru Kwa hali hii naona hakuna serikali kabisa, najaribu kupata picha uvumilivu utakapowashinda wakristo hali itakuwaje tunduru. Muda si mrefu tutashuhudia vurugu kubwa
  15. C

    Chande: Rufaa ya Lema yakamilika

    Ni kweli hao jamaa wawili ni ndugu wa kuzaliwa Alute Mughwai na Tundu Antipasi Mughwai Lissu ni mtu na kaka yake na wote ni wanasheria waliobobea, ni matumizi ya majina tu, mwingine anatumia middle name na mwingine surname etc
  16. C

    Msaada wa kununua bidhaa amazon.

    Ni kweli Amazon ni waaminifu sana, aidha inabidi uwatumie amazon.co.uk kupunguza postal charges, problem itakuwa mifumo yetu ya postal hapa nchini, itabidi utumie courier ambao ni wa uhakika sana otherwise unaweza ambulia maboksi matupu na mzigo ukiwa tayari umeibiwa na wahuni, mimi nimenunua...
  17. C

    Mkurugenzi wa Mkuranga akataliwa na madiwani, Kikao chavunjika mbele ya Naibu Waziri

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, namfaham vizuri Sipora Liana, ni mama chapakazi, jasiri na anaependa haki, si mpokea rushwa, amefanya kazi Moshi vijijini akaenda Monduli na sasa Mkuranga, ni Graduate wa SUA na kama anasoma sasa basi ni Shahada ya uzamili ambayo mtu hazuiliwi kusoma akiwa...
  18. C

    Hivi kwanini Mwl. Nyerere hakupewa PhD?

    Kwa kumbukumbu zangu ni kwamba mpaka anafariki alikuwa na PhD za heshima 14 kutoka katika vyuo mbali mbali barani Afrika, Ulaya na U.S vikiwemo chuo kikuu cha Oxford na Cambridge vya Uingereza, ila yeye kwa kutokujikweza kwake aliamua kuitwa Mwalimu, na hiyo ndo inamtofautisha na hao wengine
Back
Top Bottom