Search results

  1. K

    Tahadhari: Sakata la Sheikh Ponda lisifanyiwe siasa!

    Lazima tulipe kisasi tu,alkisasi hakki.hizi ni salamu sio tu kuelekea 2015 bali ni hata serikalini.
  2. K

    Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

    Mh. Lowasa kweli anaweza kumrithi Jakaya tena mie binafsi ntampigia kura inshaallah maana najua ndio mwisho wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar tutaendeleza umoja kupitia muungano wa mkatabaaa! niliwahi kumuona kwenye picha ya pamoja yakumpongeza mtoa hoja binafsi bungeni 1993 kuanzishwa kwa...
  3. K

    Zitto katoa wapi pesa za kufanya 'private investigation' Uswisi?

    Hivi zito kwanini hapendwi na chadema
  4. K

    Shamhuna: Wanafunzi wote Zanzibar kufanya mitihani ya kidato cha sita

    Huo ni mtego wa necta waache wafanye mtihani matokeo yao futa.
  5. K

    Mpaka wa Malawi na Tanganyika uko hapa!!!!

    hakuna haja ya kupigana ni bora tu tukawapa haki yao wamalawi yasije yakatukuta kama ya kule zanzibar wanataka kupumua sasa.
  6. K

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    pamoja na ufisadi wote wa lowasa bado anapeta?
  7. K

    Zitto: Mabilioni ya Uswisi – Tusigeuzwe Mazezeta

    hoja nzuri na kwa kweli iko siku mafisadi watajutia wizi wanaowatendea watanzania
  8. K

    Ponda afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    hivi wale wa fedha za epa waliskotiwa kama hivi eeh!
  9. K

    Barua ya wana Uamsho kwa Waziri wa Sheria na Katiba Zanzibar

    ni kama vile askofu kilaini ametoa pongezi kwa mkutano mkuu wa ccm taifa na kumpongeza dr jakaya kwa uteuzi wake ndani ya chama,si alikuwa aongee mambo ya kanisa tu ama....
  10. K

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    100% anafaa ila dini yake tu ndo tatizo ni bora awe mkatoliki tutampgia kura
  11. K

    Ponda afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    sidhani kama nchi hii itatulia tena
  12. K

    Hotuba ya Karume ndiyo thabiti zaidi na yenye manufaa kwa CCM ya leo na kesho!

    aliyoyasema yameeleweka kwa kila aliye kua hana akili kama za samaki
  13. K

    OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

    bora tujiunge na roman
  14. K

    OIC: Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo

    chadema wote makafiri
  15. K

    Wabunge wataka Serikali tatu

    kwa upande wangu umri wa miaka 35 kidogo napendekeza iwe umri wa kuanzia miaka 70 na kuendelea ili tuwapate wenye busara zaidi,na kuhusu urais uwe wa miaka 22 ili tupate kumuenzi vizuri mtakatifu mwalimu nyerere.
  16. K

    Polisi wamefanya makosa makubwa ZANZIBAR - Kushtakiwa

    Sitaki kuwalazimisha watu waamini nnachokisema lakini siku ile ya vurugu sikuona sababu ya polisi kuvamia na aakupiga mabomu na kuvamia msikiti na kuunajisi kwa maji ya uasho na mabomu,mimi nilikuwepo eneo la tukio kwa kujua nakwenda kuitikia dua ya waliotangulia mbele ya haki siku ya ajali ya...
  17. K

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Udini tu! ulipo humu ndani sijui jf ni mali ya nani? mnanichosha sana.
Back
Top Bottom