Search results

  1. A

    ukitaka kujua CCM wanambinu chafu,soma,hii

    Tatizo la watanzania ni kuwa mashabiki wa vyama kama walivyo kwa timu za mpira Tanzania itabadilika siku wananchi watakapoacha ushabiki wa vyama na kuanza kuwawajibisha wanasiasa kwa kura CCM wakishindwa unawanyima kura Chadema wakishindwa unawanyima pia Historia inaonyesha CCM imeshindwa...
Back
Top Bottom