Search results

  1. T

    Ridhiwani Kikwete anatajwa kumununulia gari Lulu

    Kumbuka pia wanasema ni 'mtoto' Marytina
  2. T

    Mfungwa kwenye basi la abiria!!

    Hayo ya kawaida sana Bongo haswa kama anasafrshwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingne.ila swali kubwa la kujiuliza;huyo mfungwa ana tuhuma gani?askari km walibeba bunduki inaweza ku7bisha madhara gani kwa abiria?na kuna uhalali gani kufanya ivyo?
  3. T

    Kwanini ni TBS na NSSF tu? Wakati PPF nako kuna madeni mengi na ubadhilifu wa fedha!

    Mkaguzi anapofanya kazi yake anapaswa kuona haya madudu na sio kupelekewa kwani yeye co polisi au mahakama wanaothibitisha hatia ya mtu. Inamaana CAG hakufika PPF au huu ni uzushi au nayeye alipewa chake?NAWAZA TU.
  4. T

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Mengi yamesemwa ktk uzi huu na ni ya kweli kabisa.2kumbuke watanzania wengi wako emotional na ukitaka kuwarubuni ni kuwadanganya kwa kuwafuata.serikali ilitaka sifa na imepata kwa kutoa izo 15m za wizara,10m za ubani(JK) na kugharamia mazishi,hawakuangalia vipaumbele ktk hilo. Ukitaka kujua...
  5. T

    First Lady umesahau ulikotoka?

    Ubinafsi wetu cku zote una2fanya 2sahau 2likotoka. Mama Salma hajui wala kukumbuka kama kuna foleni popote. Hatoki jasho kwa lolote na hatathubutu kutoka jasho kwa kukumbuka yaliyopita. Sisi tunaweza kufanya mabadiliko ktk nafasi ndgo 2lizonazo na hii itatujengea uwezo wa kuthubutu 2takapokuwa...
  6. T

    Utaratibu wa kubeba maiti

    Askari wa cku izi unaweza kuwaita wakasema hawana usafiri.mafunzo ynyewe wengi wamechakachua,wabongo kuhusu 1st aid tupo nyuma ile mbaya na wengi wamepoteza maisha kwa kuwa ignorant wa ayo mambo.cjui lini 2tafika kucmama peke ye2.
  7. T

    Hair on men chest...

    Cpati conection ya akili na nywele kifuani.znamfanyaje mtu kuwa na akili?
  8. T

    kizaa zaa, makaratee ndani ya ofisi za eatel

    ....netiwek probulemu...netiwek losti.
  9. T

    The Genius boy!

    "the headmaster" got the last ten qns wrong. Akamkubali dogo apelekwe university kabisa na c std 3.duh huyn h/m nafkri alikua mbongo pia coz hata mi nlikosa hayo majibu.
  10. T

    Amemkuta mpenzi kona na mtu mwingine……………!

    Mme,mke au mpenzi naamini ana (ma)rafiki wa jinsia tofauti.maadam ni kukaa,kunywa na kuongea kwa bashasha is not a big deal lbda km ingekua ni mambo mengine ya kimahaba zaidi.
  11. T

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Uoga tu ndo unawasumbua ingekua sisiem ndo wameshinda jamaa wangetangaza ila ndo ivyo mambo ya kutetea unga.c unajua utawala wa sasa ni wa bifu?
  12. T

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Chadema hureeee!!!!
Back
Top Bottom