Big No . Kaacha alama ? Alama ipi ? Alam hiyo iko wapi ?
Mimi nitamkumbuka kwa kuharibu Uchaguzi wa Mwaka jana kwa upi mengin ni shida hata kuyaandika . Pia aliingia kanisani kugombana na kanisa lake nayo ni alama hii kaacha true
CCM to them Tume Huru ni kama COVID 19 na wao wanajua once that allowed the struggle will be huge . Any changes to have Tume Huru means maongezi pia juu ya ushiriki wa Polisi katika changuzi zetu . A very bitter move and CCM cannot afford it .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.