Search results

  1. K

    Msaada: samsung galaxy s5 battery

    Kama kichwa cha habari kisemavyo Naomba kufahamu bei na mahali naweza pata battery ya samsung s5
  2. K

    Kati ya hizi EQUATIONS zilizobadili Dunia, Umewahi kukutana na Zipi?

    Mm bado baadhi naztumia mpaka sasa
  3. K

    Samsung vs Huawei

    Wakuu, wapi naweza ipata motolora moto G(3rd gen) kwa hapa dar?
  4. K

    Lulu Mahakamani: 23rd April 2012

    eti wadau mbona ndugu yang alipelekwa kizimbani na ka-askari kamoja tena kalikokuwa kamejichokea,inakuaje haka kamalaya kanapelekwa na kituo kizima cha police?afu bongo ilivyo ya mapoyoyo utaona kesi itakavyopigwa tarehe mpaka wabongo 2sahau!
  5. K

    PCM na PCB ipi iko fresh in case of ajira hapa tz?

    usihofu ni kidole gumba cha mchina na kuhusu English nina banda ktk CSEE
  6. K

    huyu MMASAI niaje?

    huenda ni mazoezi yao huko kwao maanda hawana goz kwamba watacheza uwanjani!! Mhhhh!! lakin inatisha hadi karne hii ya mchina wenye bado wako hiv?
  7. K

    PCM na PCB ipi iko fresh in case of ajira hapa tz?

    Ebwana mi nimechaguliwa kujiunga na fm 5 PCM OLD MOSHI na nataka mnishauri nibaki ama niende PCB,coz nahofia ajira mbeleni.
  8. K

    Kweli Wezi Noma

    Hawa majamaa ndo wanastahili kusomea enginering kwani sayansi na technologia yao inazidi hata ile ya Mchina
  9. K

    Usalama upo?

    we hapo 2 unashangaa,uliza waliowahi kupita barabara ya Arusha - Serengeti wakuhadidhie kuhusu zile kona za ngorongoro.Yaan ni mara kumi ya hapo!!
  10. K

    Wazungu Hamnazo

    ofcoz ndo mana hata ukimwi nafikiri ulisababishwa ma mambo haya ya kizungu ambayo wenyewe wanachukulia kama maendeleo ya sayansi na tecnologia katika suala zima la mapenzi.Aisee wapumbavu sana hao!!!
  11. K

    Msaada kuhusu shinyanga sec...shybush.

    Mi nimemaliza hapo shy bush 2011,ackwambie mtu shule ile ni Bonge la skonga kwa kila kitu.Nachokushauri ukifika 2 omba wakupangie bweni la Twiga(bweni zuri sana lile).Pia ucsahau kuandaa hela ya mapuru but c lazima kwani waweza kuwa mpulizaji mzuri tu.Ukifika mpe hai xana ticha wangu wa namba...
  12. K

    Vip kuhusu bagamoyo sec,nisaidieni wadau

    Jamani mi nimechaguliwa Bagamoyo sec naombeni mnisaidie details zake kama skuli ni nzuli au la
Back
Top Bottom