Search results

  1. I

    CDM inajifunza kwa makosa ya CCM

    Hukumu wote tunajua haiwezi kuwa sahihi, tunapoteza mda kufikiria yasiyo sahihi na kuacha yaliyo sahihi. Watanzania huu mda ni wa kuact sio kulalamika. CCM wame act ndio maana tumevuliwa ubunge, CDM wanajibu matusi ya Kibajaji kwa kulalamika. Mimi huu naita unafiki kuto kuwepo wananchi walio...
  2. I

    CDM inajifunza kwa makosa ya CCM

    Sheria ni tofauti na hisia za wanachi, ukifuatilia kesi nyingi duniani za ushaidi wa wazi na watuhumiwa wanashinda. Wa CDM kunatofauti kubwa kati ya hisia na sheria, huu sio wakati wa kushangaa na kulalamika ni wakati wa kujifunza na kukubali mabadiliko. Tunapo lalamika hatuna ushaidi wa Lema...
  3. I

    Paypal registration

    Nenda fb tafuta group linaitwa computer science & I.T student tatizo lak litakua limeisha
  4. I

    Nauza Lamborghin Gullardo

    Kudadadeki
  5. I

    Matokeo ya chaguzi za udiwani

    Hayo yanayotokea Dodoma ni ukosefu wa Elimu
  6. I

    Kwa uchaguzi huu wa Arumeru Mashariki wafuatawo wamevuna walichopanda

    Huyu Lusinde aka kudadadeki sio waku vumilia hata kidogo, hapa mimi nashauri sheria mkononi ichukue mkondo wake
  7. I

    Picha za Leo Mkutano wa CDM Tengeru Arusha

    Mapinduzu daima
  8. I

    uraia

    Je tuendelee kutegemee uchaguzi ili kupata uongozi bora?
  9. I

    uraia

    Nilimaanish kuelewa
  10. I

    uraia

    Ninacho maanisha ni kuto kuelewa wanao shabikia CCM 2012 ndio kipimo cha kuelewa cha watanzania kilipo ishia?
  11. I

    Masanduku 16 yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa Arumeru Mashariki

    Haya mambo yataisha lini lakini na wanao fanya hayo wanachukuliwa hatua gani au tuchukue sheria mkoni kama tunavyo wachom vibaka
  12. I

    uraia

    Hivi ni kweli siasa ndio kipimo cha huelewa, busara, kukubali kukandamizwa in Tanzania?
Back
Top Bottom