Search results

  1. Pundamilia07

    Majina ya mitaa ya zanzibar kunani?

    It is Jaw's Corner
  2. Pundamilia07

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Atukaizer Mwakachief Ruta4G
  3. Pundamilia07

    Naomba kujuzwa kuhusu hii gari inayoitwa Honda Crossroad

    Honda ni moja ya magari imara sana. Vipuli vyake vingi bado ni genuine na hapo ndiyo huipa gari thamani inayostahili. Performance side, ni gari zenye performance nzuri sana. Unaponunua gari leo kigezo cha kuliiuza baadae usikiweke, gari huuzwa likiwa kwenye hali nzuri na bei muafaka. Nunua...
  4. Pundamilia07

    Ramadhani Rashid Madabida na Sophia Simba: Je, wamefanya aliyofanya msaliti Alexandar Tobias?

    Awali ya yote nakupongeza Nguvu ya Ajbu kea maelezo mujarab hapo juu. Pia nampongeza mleta hoja Bw Said Mohamed Maelezo ya mjibu hoja Nguvu ya Ajabu yamejitosheleza kuelezea upande wa pili au kutolea majibu pale mae'ezo ya mtoa yalipokuwa hayajajitosheleza. Niongezee kwa kusema kuwa vikao vya...
  5. Pundamilia07

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    I respect democracy na uwepo wa vyama vingi vya siasa. Hata hivyo, siasa si uadui na wala si platform ya kutekelezea evil minds za wanasiasa wachache wasio wavumilivu kwenye duru za ushindani wa kisiasa. Chadema si mali ya mtu binafsi bali ni mali ya wanachama, hivyo basi busara ya viongozi...
  6. Pundamilia07

    CCM wawatikisa CHADEMA Houston wajikuta wapo wawili tu mkutanoni

    Nilipata nafasi ya kuona clip ya mkutano ule wa Nape pale Houston. Kwanza kabisa napenda kumpa pongezi nyingi sana Nape kwa kuwa ni mmoja kati ya viongozi wachache wa Tanzania ambao wamethubutu kutia mguu Houston. Katika sehemu zote ughaibuni ambazo watanzania wanaishi, Houston imekuwa na...
  7. Pundamilia07

    Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

    JF, watu walewale, mawazo yaleyale wakati wote...The great sinkers!!!!!
  8. Pundamilia07

    Waziri mkuu anapokwenda holiday na mkewe

    "Tembea ujionee usingoje kuambiwa, duniani kuna mengi na yote yanakusubiri...huwezi kufanisha Morogoro na Darisalama...tembea ujionee..." RIP Dkt Remmy Serikali ya uingereza ndiyo ipo responsible na ulinzi wa kiongozi huyo na wala hawezi kuamuru ni namna gani alindwe...kwa kifupi, kama...
  9. Pundamilia07

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    CHADEMA needs to remove the word 'DEMOKRASIA'. CHADEMA si chama kinachopigania kuwepo kwa demokrasia. Sasa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Mbeya ameamuakuwatosa, kwanini mnampigia kelele na kejeli as if uamuzi huo si wa kidemokrasia? Hao viongozi waandamizi wa Mkoa wa Mbeya wanailewa...
  10. Pundamilia07

    Elections 2010 CCM ina rekodi ya utekelezaji 2005 - 2010

    AHADI: KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA Ujenzi wa miradi 15 ya barabara kwa kiwango cha lami yenye jumla ya urefu wa Km. 1,398.6 imekamilishwa katika kipindi cha 2005 - 2010 huku ujenzi ambao unaendelea ukiwa ni wa miradi 29 ya barabara zenye jumla ya Km. 2,536.4
  11. Pundamilia07

    Mabere Marando Ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

    Hata mimi siombei mabaya lakini rekodi yake ndio inatiashaka ukichanganya na uharaka.
  12. Pundamilia07

    Mabere Marando Ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

    You better be careful guys...keep on watching your watch....kuna mtu hakuwa makini mahali fulani!!!!!!!!!!!! Najua kabisa mtalaumiana mbele ya safari heri ya wale ambao tayari wameonesha wasiwasi watakuwa na la kusema wakati ukifika.
  13. Pundamilia07

    Elections 2010 Dr Kimei kuwa kwenye kamati ya kuchangisha fedha za kampeni CCM ni sawa??

    Kisheria Dr Kimei ana haki ya kushiriki katika shughuli za kisiasa na katiba ina mruhusu kwa vile hajavunja sheria. Dr Kimei anashiriki kama yeye binafsi si kama CEO wa CRDB na shughuli hiyo ni kwa ajili ya maendeleo ya jimbo lake. Nadhani kama suala ni la kimaadili basi nafikiri mawakili wa...
  14. Pundamilia07

    Sababu za CCM kukataa midahalo hizi hapa

    Kuna mgombea ubunge mmoja wa Chadema kule Morogoro anafanyia mikutano yake chini ya bango la CCM ili kuhadaa wananchi kuwa wao na CCM wanafanya kampeni pamoja. Alishtukiwa akabaki yeye na wapambe wake tu.
  15. Pundamilia07

    Elections 2010 Yu wapi mgombea mwenza wa CHADEMA?

    Mtu wa Pwani, Unajua CCM iliamua kabisa mwaka huu hakuna kampeni chafu na ndiyo maana mtaa wa pili wanajitahidi kuleta uchafuzi lakini CCM imekuwa very cool inaendesha kampeni kistaarabu kabisa. Kwenye mikutano zinazomwagwa ni sera tu na si mabomu. Sasa basi kama tungekuwa tunataka kuwaumbua...
Back
Top Bottom