Search results

  1. E

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Mwenzetu kumbe una watt 3!.papara za nini badala ya kutunza hao makid ili baadae wakutunze? Kuna watu hawana hata mtt mmoja.ukiugua utayakumbuka yote hayo? Tulia. Jali uhai zaidi kuliko starehe.
  2. E

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    weraaaa....TUNAOMBA MAREKEBISHO YA DAFTARI ILI VIJANA WAPYA TUJIANDIKISHE. WAHITIMU WOTE, GRADUATES MPOOO..... KAZA BUTI.2015.
  3. E

    Matokeo Arumeru ya kura za maoni

    mja hunena muunngwana ni kitendo.Chama Cha Majembe kinajinadi kwa mbwembwe lakini je,sisi vijana wapya wa Chama Dereva Makorongoni tutapata nafas ya kuandikishwa ili tupige kura lini?
Back
Top Bottom