Search results

  1. M

    Kwa mambo haya serikali haina dhamira ya dhati kumaliza mgomo

    Tulitegemea kuona serikali ikichukua hatua za dhati kumaliza mgomo lakini kwa mambo haya: 1.kumshtak rais wa madaktari mbili 2.kuwasimamisha kazi zaidi ya madaktari 300 ...kikwete jiuzuru nchi imekushinda
  2. M

    Shujaa wangu makani

    Hakuna mwanadamu aliyezaliwa kwa bahati mbaya kila mwanadamu ana makusudi na kazi maalumu mungu amempa duniani,tofauti ni kwamba tunazidiana vipaji ambavyo mungu ametupa,makani ni mmoja wa wanasiasa hapa nchini ambao mungu alimjaalia kipaji na uwezo mkubwa katika medani ya SIASA,ninaweza kusema...
  3. M

    CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

    Mkuu hiyo inatukumb usha kitabu cha darasa la tatu sizitaki mbichi hizi!!!
  4. M

    Nape na pongezi za unafki

    Nape kwa niaba ya ccm amejitokeza kumpongeza Nassar lakn hii inatafsir gan ukzngatia na maneno ya kashfa waliyotoa dhid ya Nassar,Nape anasema uchaguz ulikuwa huru na wa haki wakat wao wali2mia mbinu zote kuhakikisha chadema hawashindi..chadema tunasema ha2tak pongez za magamba..
  5. M

    Damu ya makamanda na ukombozi wa Tanzania

    Peopleeeees!namn kuwa umeitikia vyema,wana chadema wote kwanza tumshukuru mungu kwa ku2pigania na kuiondoa ccm arumeru,licha ya ushindi huu mzito ninaomba tucjisahau elimu ya uraia iendelee kutolewa nch nzma kijiji kwa kijiji mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba,2kiwa kwenye shangwe hz makamanda...
  6. M

    Nape, Lusinde Na Mkapa MMETUHUJUMU ARUMERU

    Arumeru wamestuka ccm n koti lenye chawa hakuna wakulivaa..m4c
  7. M

    Tuwarambe tusiwarambe?

    Movement 4 change ndo hyo imeanzia Arumeru...ofis mkonon mpaka magamba yatoke
  8. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Thnx 2 god almighty dats what we can say..
  9. M

    LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

    Maneno matupu hayavunji mfupa mkuu...inawezekana ukawa gamba soma post ya ARUMERU NA KOTI LENYE CHAWA..
  10. M

    Arumeru na koti lenye chawa

    Kwa muda mrefu tumefatilia kampen za arumeru na ss znakwenda mwisho,na 2meona kampeni zenye mvutano wa vyama viwili vyenye mashabk weng Chadema na CCM,lakn Kwa chama km CCM nakfafanisha na koti ambalo lina chawa ambalo halwezekan kuvaliwa tena,mambo wanayofanya ndan na nje ya chama knawatafuna...
Back
Top Bottom