Search results

  1. nyafuru

    ITV yaanika kila kitu na ushahidi wa kutosha kuhusu mauaji ya mwandishi huko Iringa

    M4C sasa kutua dodoma,kwa ratiba iliyopo ni kwamba CDM sasa inajiandaa kufanya oparation Kubwa dodoma na wilaya zake zote sasa cjui wajamba zangu hasa waishio wilaya ya bahi wako tayari kufa wamesimama au kuendelea kuishi huku wamepiga magoti.WAANDISHI WA HABARI KUI UNGA MKONO SERIKALI KUWA...
  2. nyafuru

    Marufuku walimu waliogoma kushiriki sensa - serikali!

    Du kweliii mi nafikiri kama walimu wata achwa kwenye hili zoezi la sensa, kwa madai kwamba watahujumu sijui mitihani ya Taifa ya darasa la saba itakuwaje watasimamia watu wengine tofauti na walim?
  3. nyafuru

    Mbunge wa Bahi ajijenga kupitia fedha za mfuko wa jimbo

    Katika mazingira ya kuiwashangaza wengi mbunge wa jimbo la bahi agawa hela kwa vikundi bila kubainisha hela ni zake au ni hela zinazo tengwa na serilali kwa ajiri ya mfuko wa jimbo?watu wakiwa wamejikusanya wawili watatu walionekana wa kishangazwa n amambo anayo ya fanya mbunge huyo nsa ser a...
  4. nyafuru

    Walimu bahi wakopwa usahihishaji waihani mock wilaya

    KATIKA MAZINGIRA YA KUSHANGAZA WALIMU WA WILAYA YA BAHI WAPATAO 25 WAMEFANYISHWA KAZI YA KUSAHIHISHA MITIHANI YA MOCK WILAYA KWA UJIRA WA SH.5000 KWA SIKU KWA MDSA WA SIKU TANO NA HATIMAYE KUOMBWA WAWE WAVUMILIVU WILAYA HAINA HELA WANGOJE MPAKA HAPO ITAKAPO PATIKANA.HUKU WAKIBEMBELEZWA WASIHOJI...
  5. nyafuru

    Taifa halina akiba ya kutosha kujiendesha kwa miezi mitatu ijayo

    Waziri wa fedha amenukuliwa akidhibitisha kuwa taifa lina akiba ya kutosha ya dola za kimelekani kuweza kuendesha nchi kwa miezi mitatu swali ni je,kwa nini bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012/ haijatekelezwa hata theluthi moja?kwa nini miradi ya barabara imekwama na wahandisi wanaendelea...
  6. nyafuru

    Vua Gamba Vaa Gwanda, Ndani ya Ukonga Jumamosi hii 19/05/2012

    TUKO PAMOJA NAWAZA KUFUNGUA TAWI BAHI DODOMA NAHITAJI KAMPANI YENU WAKUBWA KATA IKO WAZI,NA JIMBO PIA SIELEWI NIANZIE WQAPI.:alien:
  7. nyafuru

    Hali ya usalama ni tete jijini Mwanza

    PAMOJA NA KUTUMIA DOLA KAMA WANVYOPENDA STILL TUMECHUKUA KATA YA KILUMBA IS A MATTER OF TIME HATA BI KILEMBWA KWENYE KIVULI KINAISHI ALIWATISHA SANA WATU LAKINI MWISHOWE HATA VIUNGO0 VYAKE VYA MWILI VILI MDIS.:lol:
  8. nyafuru

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    mpaka sasa hvi mchuano ni mkali sana huko arumeru vyama vya chadema na ccm vyaendelea kuchuana kwa kasi.:wof:
  9. nyafuru

    CHADEMA: Tunalinda kura kwa helcopter

    Hata uyoga ulianza kama mchicha:wink2:Itafahamika leo.......
Back
Top Bottom