Search results

  1. khalfan56

    Msaada: MiracleBOX Thunder cant open

    hakuna crack ya hiyo software
  2. khalfan56

    Msaada: MiracleBOX Thunder cant open

    hunalo box la miracle
  3. khalfan56

    Msaada Kuhusu Android OS

    haiwezekani
  4. khalfan56

    Msaada kwa simu yangu ya Huawei laini moja ya Tigo

    humu yupo mwl rct atakusaidia bila shaka simu yako ni y530
  5. khalfan56

    Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Hivi punde naona HTC yako iko blacklisted
  6. khalfan56

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    imei ipo blacklisted
  7. khalfan56

    Nyoka ni marafiki zetu na sio maadui, tusiwadhuru bila ya sababu bali tujenge nao urafiki

    kwa sababu ya kutokujua hata huyo nyoka unaemchukia wewe ndio umesababisha awepo pia wanafaida nyingi katika mazingira, Biodiversity
  8. khalfan56

    Wana jukwaa ebu nipeni password

    Kunazingine unanunua unlock code kisha unaweka au unampelekea fundi anakusaidia kuunlock
  9. khalfan56

    Angekuwa mke ila tatizo sikumwambia kazi yangu

    sio kweli. Upendo hauhitaji sababu
  10. khalfan56

    Msaada: Jinsi ya kuupdate rooted device

    duh ROM unabadilisha je? vipo vitu kwenye android visivyobadilishika
  11. khalfan56

    Msaada wa unlocked flashfile airtel AO2 simu toka zambia

    Ndani inaCPU gani? SPD,MTK,COOLSAND&RDA e.t.c
  12. khalfan56

    Swali la kizushi,hivi kazi ya chuchu za mwanaume ni nini

    kwa sababu embryonic development ni identical kabla hujawa na jinsia
  13. khalfan56

    Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

    Ni ngumu kujua kwa macho ila kuna mambo mawili kuna wengine ni resist to HIV (ccr5 antagonist). Kuna wengine wakipimwa ni positive ila dalili hawana na wanaweza kukaa hata 10 years bila dalili ila haina maana kuwa ni carrier sababu HIV have a prolonged incubation period due to clinical latency...
  14. khalfan56

    Msaada nataka kujua matatizo au madhara yakutokula nyama

    Ni somo pana kidogo ila kiujumla nyama sio nzuri kwa matumizi ya binadamu kuanzia kiafya sio nzuri, pia invibration mbaya kwa binadamu na pia sio busara kula nyama. Vipo vyakula mbadala wa nyama kama Sky Eclat alivyokwisha eleza hivyo kama unalengo la kuacha kutumia nyama basi umechangua njia...
  15. khalfan56

    Mtoto kufanana na mtalaka wa mke ni kitu cha kawaida

    inawezekana kitaalamu wanaita Telegony maana yake mtoto anaweza kurithi vitu flani kutoka kwa mpenzi wa zamani wa mzazi wa kike
  16. khalfan56

    Msaada nataka kujua matatizo au madhara yakutokula nyama

    kama ataamua kuacha kula nyama ni vizuri zaidi. Mtu mwenye akili timamu hawezi kula nyama
Back
Top Bottom