Search results

  1. selmah

    Kashfa: Askofu Kweka, bintiye wagombea mali

    Hilo suala limenyooka vizuri sana. Askofu aliuziwa shamba mwaka 1991. Na waliandikishana kwa mwanasheria na mkataba wa makubaliano upo. Huyo dada ana ndugu zake wa kuzaliwa zaidi ya 10, lazima ujiulize kwanini hawajasimama upande wake? Msiamini sana habari za magazeti bila kujua ukweli wa mambo.
  2. selmah

    Harusi ya Mengi na K-Lyn

    Huyo hapo
  3. selmah

    Nahitaji Samsung note 1 mpya Au used

    nauza galaxy note 10.1 gt n8000, nimeitumia kidogo kama 6months hivi
  4. selmah

    Ajali Arusha: Metro Coach T129 AQL & Fuso T615 ABW

    Ilikua jana jioni maeneo ya kawawa road
  5. selmah

    Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    Ni kweli hapo ndio watu wanapokosea kwamba unatakiwa kuheshimu kazi ya mtu mwingine no matter how much they are earnig out of it...but well kil mtu ana technique yake hata unapoenda dukani mwenye duka will use any way to convince you that product yake ni nzuri...who knows?you may actually be...
  6. selmah

    Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    hahaha,watu mnaongea kwa uchungu kweli maskini....i dont know abt other network marketing companies manake sijazistudy, but flp ni genuine company na inalipa kodi TRA kama kampuni nyingine yoyote, marketing plan ya forever iko wazi sana mtu yoyote anaweza kuisoma akafanya business na...
  7. selmah

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    Tena ina tinted...mmh. Hospital imeshuka sana,sio jambo la kuficha..idara za diagnosis ziko hoi, directors hawana priorities,mishahara ndio hiyo,purely govt scale,hakuna hata top up...sasa makusanyo yote ya hela yanaenda wapi???
  8. selmah

    Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

    Mama yake ndio huyo babu sambeke sidhani kama alikua na mke
  9. selmah

    Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

    haha,first date yangu moja...so,we met at around 6.30pm..jamani huyo kaka aliongea yeye tu hadi 9pm,he even came with his own wedding date,kuwa keshapanga yeye...oh,and he was even talking bad things about his young sisters and ex gf..i never turned back....
  10. selmah

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Okay nashukuru sana. kwa maelezo yako nadhani kuku wa nyama watanifaa kufuga, kama naanza na vifaranga say 250,gharama ya utunzaji hadi kufikia kuuza itakua roughly how much?chotara au wa kisasa.
  11. selmah

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mimi nataka kufuga kuku,ila nahitaji kujua kati ya wale wa nyama,na mayai..wapi wanalipa zaidi?soko langu litakua Moshi na arusha zaidi. Halafu kama ni wa nyama au mayai,wazuri ni chotara,ama kienyeji ama kisasa? Ukishanijibu maswali mengine yataendelea hapo.
  12. selmah

    Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

    Muulize tu amekosa nini kwako? Mara nyingine unakuta kweli mko faithful and all...but you forget that,thats not all that matters....pengine the way you handle her,sio anavopenda. Na hivi unavosema 'u know she will come back crying'....shows that you are that kind of a guy who thinks u're...
  13. selmah

    ununuzi wa magari online... tusaidiane hapa

    mi nilishaagiza kutoka japanesevehicles.co.jp, na baadae kutoka beforward.jp...magari yalifika salama,nilitafuta agents wa kunisaidia kazi ya kuclear bandarini. tradecarview wana magari mengi,lakini to me it looks like different sellers put their cars in the website,wengine wakiwa matapeli,so...
  14. selmah

    Kwa wale wa moshi mjini msaada tafadhali

    salon nzuri ya kike nenda k'njaro salon kama ulivoelekezwa hapo juu,more precisely iko opposite General tyre....passport size nzuri kuna sehemu wanapiga vizuri sana kule opposite buffalo hotel,just next to indoitaliano restaurant....Karibu Moshi!!
  15. selmah

    Sitaki kukuumiza ila its over!!

    ukishikwa....shikamana!
  16. selmah

    45 things that girls want,but wont ask 4.

    mh...are there such men left? i'd really love to meet one of them!!
Back
Top Bottom