Search results

  1. mischa

    Mbinu zinazotumiwa na Matapeli kwenye M-Pesa,Tigo Pesa Airtel M n.k

    Utapeli nilioupata jana,Walinipigia simu wakisema wametoka kitengo cha Bonus cha voda,nimeshinda Laki mbili na simu ya Techno,wakataka kujua mara ya mwisho niliweka shs ngap mpesa? Nikawaambia hivi naongea na nyie nna balance la mia tano,rusheni hiyo laki mbili basi nije voda shop kuchukua...
  2. mischa

    Namna gani naweza kuhifadhi hela nje ya nchi?

    Heri ya Mwaka!! Kutokana na hili wimbi la serikali kufungia mabenk kweli nimepata shaka kuhusu uhifadhi na akiba ya masalio yetu. Je,ni namna gani naweza kuweka hela zangu benk za nje? Siku gharika likitokea niwe na blanket funds kuliko kuanguka kwa presha na kupasuka moyo. Shukrani
  3. mischa

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Ungepiga Namba ofisini secretary akupe muongozo namna itakuwa.
  4. mischa

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Hapana Bado Dodoma na Singida ila watakuwa wanaelekea huko,Nikushauri kuna link zipo kikanda na Kuna link ya Ukanda wa kati(TMT Central Zone) jiunge mjihabarishe. Mkitimia Idadi ya 50 na above wanakuja tu Capital City
  5. mischa

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Alishasema yeye Kujibu PM ngumu anapokea nyingi kupita maelezo
  6. mischa

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Mkoani tayari mbona au mkoa upi,wameshaaenda Kanda ya Ziwa Mwanza na leo Wanamalizia Arusha.Watarudi Dar next week training 23 had 27 Baada ya hapo watanganza natumai itakuwa either Mbeya au Zanzibara tokana na wingi wa watu.Ni mwitikio wa Raia.
  7. mischa

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Ndugu newazz sijakuelewa kununua training package ya kuendelea ni kina nani hao? From my understanding unalipia training wajifunza na baada ya hapo hakuna malipo ya ziada.Itakuwa labda umeona matapeli wengine BUT for TMT nope pay 130K for training itakupa gateway 6months mentorship.
  8. mischa

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Group mbili- Group 1 Asubuhi Saa 4- mpaka Saa 6 mchana Group 2 Jioni Saa 10 mpaka Saa 12 Jioni
  9. mischa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kaka hii comment yako ni ya #8583,tumeshatahadharika mpaka tumeshindikana,acha tu atutapeli.Unajua ulimwengu huu wa science & Tech hata Forex ipo mtandaoni twaisoma kabisa. Mm nikuambie tu Tarehe 23 naanza mafunzo ya kitapeli pale Jangid Plaza ntakuja kutoa ushuhuda namna nimefuzu kwenye Course...
  10. mischa

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Mbona Sisi wa Dar ndo tumeambiwa ni tarehe 23,maana wapo Arusha week ya tarehe 16.
  11. mischa

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Training tarehe 16 next week. Hapo juu kuna link ya group jiunge kwa link ya Dar ndo tunajimobilize next week tufanye mambo.
  12. mischa

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Mliohuduria training kikawaida darasa la jioni linaanza saa ngapi jioni??
  13. mischa

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Studio karibu na studio bar kwa kina TID,wana ofisi nyingi hiyo ni moja wapo,ingine ipo sinza makaburini,kinondoni mwananyamala,mikocheni B.
  14. mischa

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Habari Najua Bank ABC wapo posta pale Uhuru heights ila hii link ya kuonyesha branches. BancABC
  15. mischa

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Tuwage tunasoma vizuri uzi huyu mtu yupo busy sana hata kuweni na kahuruma, Ushaambiwa soma vitabu pata mwanga ukiona mda umewadia fika ofisin au kama vile ww upo mbali piga ile namba ya secretary akupe maelezo,lazima kutakuwa naplan baada ya hao 300. Ila secretary wa Ontario atakuwa anajionea...
  16. mischa

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    ynnobygger Vitabu hivyo hapo,shukrani za kipekee kwa Mwl.RCT Ulinisaidia sana thread ya zamani nilikuwa napakua tu. Tujifunze kushare wengine mliouliza keisangora na waza_makubwa U r welcome,Natumai tutaonana batch za mbeleni :)
  17. mischa

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Nakushukuru sana na mie mpita njia umenipa wazo,nipo tokea ule uzi wa zamani nipo kitabu cha forex bible sikuwa na mwanga,naongeza bidii sana ili hizo batch zikiisha niwe nimewiva, Hata mkiniambia nilipie Training kwangu sawa tu im all in. Kikuu nasoma kwanza nielewe shukrani Kaka.
  18. mischa

    Series (Special thread)

    Kuna raves ya series mpya Salvation. Ila nikiwa na download badala nipate video inakuja kama ki Text Memo,Sijaelewa tatizo ni nn.
  19. mischa

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Hela nshatoa mimi ndio inaniuma itaachaje kuniuma sasa kwa mfano. Na Ubaya wote tupo nyuma Simu/Computer kujipima umaskini ngumu. ras jeff kapita
Back
Top Bottom