Search results

  1. L

    Diamond akataa hela ya Wema stejini...

    Jaribuni san akuangalia mchezo mzima ulivyofanyika , kuanzia Wema , Diamond na Jokate wote ni wajinga kichwani.Wema kwenda kumtunza Diamond kama angepokea angekufa ama?? Na kwa nini alipozikataa Jokate na Sinta waliuwa wanashangilia? Nilikuwa namwona Jokate wa maana lakini wote ni wale wale...
  2. L

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Nashangaa sana watanzania mwenzetu kauliza swali na linaeleweka bila ya kumsaidia mnaanza kumshushua ..fungua google andika cv fomart , ila cv inatakiwa kuwa fupi na inayoeleweka. Cv ina-include identification yako, education, hobbies, professional experience & qualifications ..pangilia tu...
  3. L

    Sumatra

    Kama ulikuwa unajua huna shida na kazi za Sumatra kwa nini uli-apply ?? Mwanzoni hukufikiria kuhusu package zao au unaogopa interview? Watu wanapalilia wewe unasema eti upotezee?? Nyie ndo wale wale mnaoangalia mishahara bila ya kufanya kazi upate experience ili siku moja uje kupata kazi...
  4. L

    Msaada

    Andaa CV yako peleka pale EROLINK ni kampuni ambayo Vodacom wamewapa Tender ya kuwatafutia wafanyakazi wa Customer care..Erolink hipo nyuma ya kituo cha morrocco /Kinondoni kama unarudi Victoria barabara ya kwanza ukitoka mataa kuna kanisa la wamarekani ukiulizia mtu yeyote utaoneshwa.
  5. L

    UKIGUNDUA unasalitiwa utafanyaje?

    Inategeme kuna wakati mwenza wako anakusaliti kutokana na makosa ya mwenzake kutokumjali, kutokumlidhisha ila kuna wengine ni tabia tu ..NI bora hujue undani uliosababisha mpaka akakusaliti na ukigundua ni tabia yake tu au tamaa za kimwili huyo hachana nae hakufai kabisa
Back
Top Bottom