Search results

  1. B

    Ushauri wako utanisaidia kujijua.

    sasa ambacho hujaelewa hapo nini au hadi akuandike notes
  2. B

    Kila ninaempata ananizidi kielimu.

    Hahahhahahhahaaaa umenipa raha sana
  3. B

    Kila ninaempata ananizidi kielimu.

    ndo mana huko kote alikopita wanamzngua kama ingekua sio hivo asingelalamika hapa angeshampata, na kwa uwezo wake kiuchumi ndo mana anakutana nao walomzidi elimu..and mara nyingi mwanamke akimzidi mwanaume elimu huwa neno kidogo
  4. B

    Kila ninaempata ananizidi kielimu.

    kama hutaki kurudi shule mtafute standard 7 au form 2 aloshindwa kuendelea mana na hivo vihela vyako utaishia kuitwa buzi
  5. B

    Mademu wengi wanateseka juu yangu...

    daaaaaah, wanaume wote mngekua hivo mbona dunia ingekua raha raha, hebu nielekeze nikufuate switihati losheni
  6. B

    Kila ninaempata ananizidi kielimu.

    mmmmh kazi kweli kweli ila kiukweli kwa dunia ya sasa upo chini sana hebu rudi shule, mana siku hizi videgree vimekua vingi sana na kwa mfano hata mi mwenyewe kwa sasa form 4 siwezi kabisaaaaaaa!!!!
  7. B

    Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    wewe ze dudu unazingua wenzio, afu hesabu hujui na nan kasema kila kozi wanaenda field mwaka wa kwanza? huo ukokotoz wako umeutoa wapi?na kama unashindwa kukokotoa hesabu ndogo hivo utaweza kutumia hiyo asilimia 100 unayojipangia. Kwani we bodi ya mkopo?kuna hela ambayo first year mnatangulia...
  8. B

    JWTZ proffessionals vipi?

    Mwaka huu wameshachukua na kwa ambao sio proffesional nafasi zilikua kibao na had walifanyiwa usaili na proffesionals waliitwa direct ilikua tarehe 13july wakatakiwa tarehe 15july wawe washawasili kwenye kambi zao za jkt. Jaribu kufuatilia mwakani tena uone
  9. B

    Tunda sikupata ila na yeye nilimkomesha

    hiyo stori yako ni furahisha genge kweli na imenifurahisha,.....kama kwel wanaume wanaeza fanya hivo hakutakua na habari za buzi mee tena
  10. B

    Kwa wanachuo na waliopitia chuo na wengine karibuni

    aisee inahusu hiyo, kumbe nayo imo
  11. B

    Swali la uzushi, nani anatakiwa kusema asante?

    umeona eeh, utam ukikolea automatically utasema asante, and if nat mmmmh utatra
  12. B

    Ni shemeji yangu kabisa..

    msaidie dadako ila kuwa makini usijesababisha ndoa yake ikapata ufa
  13. B

    Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

    Nashukuru NN hata wewe umeliona hilo, yan akiwa kwenye zile filamu zetu sasa si ndo utasema mtu ndo huyu,....yan sasa hivi kila anachokifanya yan ni ful kuigiza anajisahau kuwa sa ingine anakua kwenye real life
  14. B

    Hiki ndio alichosema Diamond baada ya Wema Sepetu kuzungumza kwenye XXL

    Huyu mwanadada nadhan hayuko good upstairs kama diamonds anachosema ni ukweli.
  15. B

    Bingwa wa kukosea

    chemba na tege
  16. B

    Frank na Mkewe

    Pale sasa wadada tunapojishaua ati baby wangu hatomboki kwingine,..teh teh
  17. B

    Hair on men chest...

    Heheheheiiiya,...zina raha yake kiukwel ila kwa mwenye utundu wake znakua znahusu sana na zisiwe kama kichaka
  18. B

    Sex before marriage is a SIN.

    kwel we ni neema
  19. B

    Kiss mpaka amalize form six!!

    Hahahahahaaaaaa wa kusoma mnaona utaaaaaam!!!
Back
Top Bottom