Search results

  1. mabuba

    Kilimo cha miwa Kilosa

    Utapigwa aisee
  2. mabuba

    Watu wasiojulika

    Katika mitandao inayoongoza upatikanaji wa watu wasiojulikana ni JF. Watu wengi wasiojulikana wamo humu, humu ndio makazi yako. Robo tatu ya wanaJF hawajulikani, hivyo ni watu wasiojulikana. Hii ni Nyumba ya watu wasiojulikana
  3. mabuba

    Tundu Lissu ni bwana kigeugeu na ndumilakuwili

    Kuna watu hukubaliana na dhana inayosemwa kuwa ‘usimwamini mwanasiasa’ kuna wakati usemi huu husawiri matendo ya wanasiasa. Tundu Lissu ni kati ya wanasiasa ambao hawapaswi kuamininiwa hata chembe, kwa maneno yake na hata matendo yake. Tundu Lissu amekuwa mstari wa mbele kumukosoa Rais Magufuli...
  4. mabuba

    Mwalimu bora

    MWALIMU BORA Mwalimu bora ni yule mwenye kupenda matokeo chanya kwa darasa lake. Mwalimu bora huyu husimamia darasa lake katika nyanja zote ili kuleta tokeo bora kabisa. Mwalimu bora anakuwa ameiva kwa kila nyanja, husimamia darasa lake katika nidhamu ili kutoa tokea bora. Ubanangaji kwake ni...
  5. mabuba

    Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    Kwa kuwa suala LA Ukwirir na maeneo jirani ni tete, admn naleta hoja kwamba, hoja ya Ikwiriri iwe STICKY THREAD. Nawasilishà Mwanamtaa
  6. mabuba

    Mwanza: Amuua mke wake kwa kumpiga risasi, naye ajiua

    Max Ngedele, alikuwa rafiki yangu, tulisoma wote huko shy. Tuliishi maisha magumu ya kupanga, nyumba ya nyasi. Tulikula dagaa pasi nyanya Bali tuliweka unga ili mchuzi uwe mzito. Ugali uliobaki usiku, tulipasha asubuhi ikawa chair yetu. Max alikuwa mpole
  7. mabuba

    Kongole Serengeti Boys

    Mimi sio mwana mapokeo
  8. mabuba

    Kongole Serengeti Boys

    Mimi sio mwana mapokeo
  9. mabuba

    Kongole Serengeti Boys

    KONGOLE SERENGETI BOYS Pongezi ziwafikie, japo mpo ugenini, Faraja mwatupatia, hata ile ya sirini Hakina mwaleta faraja mchezoni, Kongole zenu vijana , vifua mbele twatembea Uwezo muonesha soka kulisakata, Kama Chenga kwa Angola mmezikata, Sasa zamu yao Niger ulimi kuwakata Kongole...
  10. mabuba

    Kwako Comrade Nape siku ya kufanya mkutano jimboni Mtama

    Naitwa Mabuba na sio Mabula. Mimi sio ngosha.
  11. mabuba

    Kwako Comrade Nape siku ya kufanya mkutano jimboni Mtama

    Kwako Comrade Nape Nakusalimu kiongozi, pole na hongera majukumu ya kulitumikia Taifa. Kiongozi ninakuandikia waraka huu lengo ni kutaka kujua kweli inayosambaa mitandaoni kuwa mnamo tarehe 8 Aprili, 2017 utakwenda jimboni kwako, na moja ya shughuli utakayoifanya ni kuongea na wapiga kura...
  12. mabuba

    Njia ya maisha yangu ilipofungwa ghafla

    Dah mkuu umenikumbusha magumu
  13. mabuba

    Nampongeza Sana Huyu Mwalimu

    Hongera sana Aron Athanas
  14. mabuba

    TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Siku mbili zimepita pasi kujua niandike nini, kila niliposhika kompyuta yangu kuanza kuandika nilikuwa nashindwa nianzie wapi. Mzee Sitta nenda mzee wetu, Mzee uliyeushinda unafiki kwa kujipambanua kwa maslahi ya Taifa. Mzee uliyepiga vita uzandiki tokea ujana wako. Kijana wa zamani uliyeamua...
  15. mabuba

    Masikini Yanga yangu

    Yanga kwa historia haiwezi fananishwa na timu nyibgine yoyote katika ukanda wa Afrika Mashariki. Ni timu ambayo historia yake inaonesha ni sehemu ya uhuru wananchi yetu. Licha ya kuwa Yanga ina historia ndefu bado katika medani ya soka haijafanya vyema kama umri wake ulivyo. Hivi karibu...
  16. mabuba

    Sakata la kubadili vigezo vyuo vikuu: TCU yakana tamko lake

    Hayo ndio magazeti yetu, TCU hawawezi kanusha hili
  17. mabuba

    Kama huu ni udikteta uchwara, tuendelee nao

    Asante sana Mdau
  18. mabuba

    Kama huu ni udikteta uchwara, tuendelee nao

    Ukiona wasiokupenda wanashangilia, rudi nyuma jiulize
  19. mabuba

    Kama huu ni udikteta uchwara, tuendelee nao

    Kudhibiti wakwepa kodi ni lazima, Walifanya yao nchi pasi huruma, Walikula na kukomba kwa kukomoaa Ni udikteta uchwara, basi mimi nautaka. Wafanyakazi hewa hatukuwataka, Sasa arobaini imefika, wajifanya hasira, Waondolewe kwa mbwembwe Ni udikteta uchwara, basi mimi nautaka. Madawati...
Back
Top Bottom