Search results

  1. audacious

    Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

    Kuna ukweli flani hapa Hii yote ni kwa kiasi kikubwa kutokana na mtindo mbaya wa maisha. Wapo wanaume 60's na Wako Njema katika sekta hiyo. Hii ni kwa jinsia zote ,tutunze afya zetu mazoezi hayakwepeki Mwana wane. Tufanye mazoezi ,tule vizuri. Kutokea pande za Bunju hapa. Nawasilisha.
  2. audacious

    Ubikira Wangu

    Soma hapo nimeshakuandikia jibu sahihi.
  3. audacious

    Ubikira Wangu

    Mdau ngoja nikusaidie kidogo, jibu lako ni hili hapa: Kuna aina mbali mbali za hymen/ au bikra. Zipo zilizofunga kabisa hizi zinaitwa Imperforate Hymen- kwa kawaida hizi haziruhusu hata damu ya hedhi kutoka na huwa zinahitaji upasuaji mdogo ili kuruhusu njia kufunguka Ipo aina nyingine...
  4. audacious

    Fahamu zaidi kuhusu tatizo la kuvunjika uume (Penile fracture)

    Tatizo hilo linatibika vizuri kabisa na hapa Tanzania huwa yanatokea na kutibiwa .
  5. audacious

    Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

    Kwa age yako bado una kamuda kakupoteza kidogo angalau miaka miwili mitatu. Nikuhakikishie tu kwamba tayari upo mikononi mwa matapeli wawili (Alex&Salum) na mlokole mmoja asieeleweka. Huu ni sawa na mkeka wa betting, mimi ningekushauri u bet kwa frank. Tatizo la huyu bwana ni uwezekano mkubwa...
  6. audacious

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    It seems kilichofanya ukaliwa ktk matukio yote hayo ni genye ulizokuwa nazo. Tukio la mkuu wa wilaya ulishawishika na pesa. Hence proved mwanamke akiwa na genye anaweza kuliwa na mtu yeyote kama mazingira yanaruhusu.
  7. audacious

    Kupiga kelele (moaning) kwa wanawake wakati wa tendo la ndoa si ishara ya kuridhika

    One of my weakness napenda sana mourning ikiwa real ubaya mmoja kwangu niko sensitive na fake mourning na ninao uwezo mkubwa wa ku detect a fake one ..nikigundua ina ni turn off kama ni first time sirudi tena hapo najua no feeling..incase ni mtu wangu wa siku nyingi najua tu siku hiyo hayupo kwa...
  8. audacious

    Tanzania Millenials Generation Challenges

    Tujadili kwa pamoja, Je ni changamoto zipi zinazokikabili kazazi cha millenials hususani kwa Tanzania? Millenials ni kizazi cha watu wote waliozaliwa Kuanzia miaka ya themanini mwanzoni kuja mpaka miaka ya elfu Mbili Mwanzoni. Hichi ndio kizazi kilichobobea na kujikita katika matumizi ya...
  9. audacious

    Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

    Kwa comments hizi hichi ndio kile ambacho wazungu wanaita Burn out. Kazi inakukinai na huitaki tena. Pamoja na hilo kuna shida kubwa ya Msongo wa mawazo. Ewe ndugu yangu Siku yoyote utakayojihisi kuwa hauna thamani ya Kuishi na Ungetamani Kufa Jua kabisa kwamba Umefikia katika hatua Mbaya ya...
  10. audacious

    Msione mtu anamn'gang'ania mtu kuna vitu havielezeki

    Yani hichi ulichoandika ni kama ume copy na ku paste juu ya dada mmoja , hivi ni vitu adimu kweli kweli.. Kuna wanawake walipendelewa katika hiyo angle, the bad thing is, she is extremely poor kwenye mambo mengine mengi .
  11. audacious

    Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Huo ni uongo wa yeye kuendelea kula Maisha kwa nyumba ndogo kwahiyo usimuache. Swali la kizushi; Simu Yake Ulichukua ya kazi gani????
  12. audacious

    Fahamu zaidi kuhusu tatizo la kuvunjika uume (Penile fracture)

    Je, Unafahamu juu ya Tatizo la Kuvunjika Uume Kwa Kimombo Penile Fracture? Tatizo hili lipo na Mara Nyingi linapotokea humuacha Muhusika katika sintofahamu na Asijue Cha Kufanya Kutokana na Mazingira Ambayo tatizo hilo hutokea. Kwakawaida Penile Fracture ni dharura ya Kimatibabu na kwa Maelezo...
  13. audacious

    Katerero/Kunyaaza: Rwandese, Haya women like to ejaculate during sex!

    Hiyo ni Sexaul Incontinance. Huo ni mkojo pure. Kama unabisha ingia google kujisomea. Incontinance ni kitendo cha Mkojo au haja kubwa kutoka bila control.
  14. audacious

    Unapokwenda kukutana na mrembo mkali zaidi kwa mara ya kwanza

    Hahah, Nimecheka sana hapo Mwisho Hembu nipe mfano wa pumba moja matata
  15. audacious

    Ukristo: Pale mke anapoamua muwe na mtoto 1, hataki kukupa tendo, yupo mkoa wa mbali kikazi. Solution ni ipi?

    Akili hana anashindwa kujiongeza Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
  16. audacious

    Siku 16 nafanya mapenzi mfululizo na ni Siku ya 8 sijafika kileleni kabisa

    Persistent Erection more than 4hrs- painful erection??. Itakuwa una Priapism Muone Daktari Mkuu. Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
  17. audacious

    Kuna kijana nimemuonya mara mbili aache kuhatarisha mahusiano yangu hasikii, nimfanye nini?

    Ushauri wa bure, Acha kufanya chochote unachofikiria kufanya kwa dogo, pambana na mwanamke wako, chochote utakachofanya juu yake ni uonevu mtupu. So, far sijaona kosa lake na wewe kwa kutumia mabavu umeshakwenda mbali na kumvunjia kioo cha gari lake. Chochote utakachofanya cha kumuonea huyo...
  18. audacious

    Usitongoze mwanamke kwa kuangalia picha alizoweka kwenye mitandao

    Hakika hili ni la kweli..Mnaweza kukimbiana mkionana live hahah Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
  19. audacious

    Michirizi nyuma ya magoti ni ugonjwa wa Wanaume wengi

    Hiyo kitu sipendi kwa kweli..nashangaa mnapendaje, kitu natural and soft skin.
  20. audacious

    Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

    Unadumu milele na milele hahah Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom