Search results

  1. B

    Cooperative Officer G rade II.

    Hallo to you all great thinkers, hope cool. Vp kuna mtu an information za kuitwa usaili wa afisa ushirika daraja la pili? Zilikuwa post 45. My self cjaona kama utumishi wameita but kuna mtu mmoja kanipa info ambazo nahic co kwel eti zile post wanatuma tu barua za kuitwa kazini bila interview...
  2. B

    Tanapa na coasco vp?

    Habari wadau wa JF. Naulizia kama kuna mtu ana information zozote kama mashirika husika hapo kwenye title wameita watu kwa usaili maaana walitangaza kazi more than 2 months ago!! Au ndo tayari kimyakimya? Harakati njema wadau!
  3. B

    Coasco na wizara ya ushirika

    Habari wana JF. Naulizia kama COASCO na Wizara ya ushirika wameita watu interview? COASCO ilikuwa assistants auditors na wizara ilikuwa maafisa ushirika daraja la II. Msaada please!
Back
Top Bottom