Search results

  1. H

    Nauza viwanja kimara temboni njia ya matosa vyote vina hati miliki

    Nina viwanja vilivyopimwa na serikali na kupatiwa hati miliki maeneo ya kimara temboni njia ya matosa venye ukubwa mbali mbali bei kuanzia milioni 12 simu 0769 431889 au 0715 478 478 ukiitaji unapelekwa buree usafiri ni wetu dalali akipata mteja atalipwa na mnunuzi tu
  2. H

    MSAAAAADA JAMANI NINA SIMU AINA YA Mi A300 ANDROID INASEMA NETWORL LOCK

    Ndugu zangu waungwana nina kasimu changu cha tigo wamenipa bure lakini wamekibana natumia laini moja tu nikijaribu kuweka laini ya airtel inasema network lock naitaji maujuzi hapa
  3. H

    Membe katika tamasha la Pasaka uwanja wa taifa

    Hizo ndio habari zaumbea umbea toa data kamili ok
  4. H

    Wanaohitaji laptops na desktops flat screen brand new na used

    Duka lenu bado changa sana watanzania nawashauri muende pembeni yao pale kunaitwa universal computer na ndio msomali mkubwa hapa bongo kwa kuuza komputa anaitwa raam hata hao uhuru wanachukua kwa raaam kuna kaale anaiuza rahisi sana kuna zakaria computa naye anauza rahisi...
  5. H

    Dk Shein apangua baraza la mawaziri Zanzibar

    Jamani huyu mpemba mmwenzetu kutupangulia baraza la mawaziri je itakuwa chachu ya utendaji ndani ya wizara
  6. H

    Former IGP Harun G. Mahundi IS NO MORE

    Mungu akuweke mahali pema peponi ameen
  7. H

    waungwana naombeni kujua huyu aliyejaza hii HATI YA USHINDI wa CDM amemaliza darasa la saba

    tehe tehe tehe tehe tehe cdm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  8. H

    David Jairo bado anatanua serikalini

    jamani watanzania mnakuwa kama washamba wa hii nchi yetu huyu jamaa muda si mrefu atapewa ubalozi wa kudumu uko umoja wa mataifaaa
  9. H

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    nitajitahidi niwahi ndege ya mchana kufika hapoooooo
  10. H

    Msimamizi wa uchaguzi Arumeru anastahili

    ngekuwa mie rais ningempa hata ubalozi
  11. H

    waungwana naombeni kujua huyu aliyejaza hii HATI YA USHINDI wa CDM amemaliza darasa la saba

    waungwana ukiitizama hii hati ya ushindi aliyopewa ndugu yetu mbunge mteule wa arumeru mbona huu mwandiko ni kama wa mtoto wa chekechea au ndio mkono ulikuwa unatetemeka sana kwa kutojiamini na kila anachokiandika
  12. H

    Jaji Damian Lubuva umeanza kazi vizuri sana

    pamoja na kwamba alikuwa na majibu ya dharau akiwa south afirika ulipopigiwa simu na mhe mbowe lakini tunashukuru umeuonesha umma kwamba unaweza hata kule kwenu kondoa nadhani utapabadilisha
  13. H

    Siyoi amefikisha kura za baba

    cha muhimu chadema ni kujipanga sana na kujua hapo ni mwanzo
  14. H

    Radio Clouds hawajaufurahia ushindi wa CHADEMA?

    wafanyakazi wengi wa tbc wameichoka sana ccm ila wanaogopa watamwaga ugali wao teh tehe tehe tehe
  15. H

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    kwanza huyu lusinde anapata wapi jeuri ya kuongea mambo machafu wakati tunamjua vizuri tangu akiwa kawe dsm pale akishinda kucheza bao tu leo anakuwa jeuri sio
  16. H

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Jamani kwa leo sisemi mie mana kina lusinde na kina nanii walikuja na kujisifu wamekuja kupambana arumeru sasa naona kimyaaa mie nimepita tu kuwasalimu ndugu zangu watanzania
  17. H

    Ndugu watanzania ushindi wa chadema Arumeru umetufundisha nini ?

    Ndugu watanzania ushindi wa chadema arumeru umetufundisha nini ?
  18. H

    ITV na Radio One

    JAMANI itv waliogopa kutangaza habari za ushindi wa cha cha chadema kwa sababu itv ina ujiarufu wa tehe tehe tehe tehe
  19. H

    Viwanja vyenye hati vinauzwa-mbezi beach,salasala benaco na kimara.

    Ndugu zangu watanzania naombeni muwe wathubutu na sio wapiga porojo hizo ni bei halali kabisa kwa mtanzania anayeishi tanzania nadhani mwenye nie ya dhati na mwenye kuthubutu atafanya mawasiliano na mimi ya kibiashara
Back
Top Bottom