Lengo ilikua kuonesha ishara ya msamaha ambao ulikua wa kipekee ambao Yesu aliutoa kwa msaliti wake. Vivyo hvyo tz tujue tumesha samehe takribani miaka 50 sasa
Baada ya kuitafakari Hotuba ya Dkt. Baadhi ya vitu vimebaki kinutatiza.
*Wakati wa Hotuba kuna baadhi ya maneno ya philosophy ambayo yalitumiwa na dkt. Maneno haya yalikua [Signing ya Yesu na Kuumwa na Nyoka]
=>Kuna madai kuwa dkt aliombwa kuuza jimbo huku masharti yake yakiwa ni kupata fedha...
Me pia nliipata kama hyo hapa nlipo natumia bundle ya mb 400 kwa 2500 asa cjui kama hyo ya mb 200 itamaliza mwezi tcra hawafuatilii hili mpaka wasikie kuna mionzi inaua ndo wanatoa tamko kwa hili ahahaah wanakunywa kahawa ofisini tu
Kaka me niko kibosho anapotokea huyo TO mara 2 wa tz hapa hamna loloye barabara ni molam tu wanamwaga ati kulikua na tetesi raisi angekuja ndo nikaona magreda yametimba kama kawaida yao saiv wamelala eneo moja linaitwa kindi mwaka wa 7 sasa tangu aingie na apewe uwaziri japo hamna lolote huku...
Kama mdau nawasilisha yafauatayo;;kama tunavyoelewa jf ni uwanja wa majadiliano,habari na hoja mbalimbali asa tofauti na inavyotarajiwa baadhi ya wana jf wanatumia vibaya kianzio cha hoja asa wale wanoanza na neno "news alerts" afu ukisoma habari unakuta ni tetesi kwa hili tujirekebisheni wadau
hapo mkuu ndo suluhisho afu naona pia ndo lengo lao wanasema hawapati faida so wanapromote za kurusha as u know hawa ni oligopoly so walikubaliana waufute vocha za jero ziwe za kurusha ila voda wakaleta zile za 350 asa naona wao wameleta hzi ili tuwetunatumia za kurusha mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.