Search results

  1. F

    Elimu ya Livingstone Lusinde; Darasa la 4!

    We nani kakutuma kuhusu elimu ya huyu mheshimiwa, kama unataka kugombea nafasi hiyo jipange kwa 2015 ndiyo upambane kwa kumchambua vigezo vya maendeleo, Hakuna cha kujadili hapa.
  2. F

    OPERESHENI Okoa Kusini ya CHADEMA yashika kasi

    Chadema good job........... Kwa jinsi hiyo chama kitaenea kila kona ya nchi, ndiyo kuleta upinzani wa dhati, kabla ya hapo chama hiki kilikuwa bado hakijaingia kwenye vichwa vya baadhi ya watz, ukisikia kwa kipindi kile cha uchaguzi ndiyo mwisho kabisa mpaka uchaguzi mwingine. Hamkuwa na ofisi...
  3. F

    Shibuda kufukuzwa CHADEMA

    Ni vizuri akaonywa kwa mara nyingine na aeleze lengo hasa ni nini? je ni chama gani makini unaweza kufanya vitu ambavyo ni nje ya katiba ya chama.................. ikiwa ni vipi avalishwe gamba.
  4. F

    Ningekuwa Mh. Mbowe; Kipande cha Hotuba yangu ya Leo Kingekuwa Hivi……

    Mkuu nimeaminia big up kaza buti kabisa.
  5. F

    Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

    Lahhhh....... mbona safi tu Halima na Nasari kuoana itapendeza kweli.
  6. F

    Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

    suala la uchumba wa Joshua na Halima haituhusu kwani ni la wao wenyewe sisi kazi tayari ya kumchagua joshua kutuwakisha bungeni au siyo wana JF?
  7. F

    Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

    mjadala wa siasa Arumeru tumeshaufunga, tupo kwenye mkakati wa maendeleo ya wanaarumeru.
  8. F

    Ugomvi mahakamani

    Je iwapo hakimu akiwa mahakamani akisoma kesi kwa ajili ya mtuhumiwa wa jambo fulani, ikatokea mtuhumiwa kumpiga hakimu. Je hapo itakuwaje?
  9. F

    Natafuta rafiki wa kike

    Hi, natafuta rafiki wa kike menye sifa zifatazo.. 1.Awe ana kazi. 2.Umri kati ya 20 to 35 3.Mchapa kazi .................. .....................
  10. F

    Introduction

    Hi, Members I am new member happy to join with this community, till later.............
Back
Top Bottom